@guberiguberi @thisismwakalosi@Sirjeff_D @erastolashau How come mtu 3years amepoteza pesa za watu, Leo ndio anatoa story ilivyokuwa. He is gaining trust, He is coming back.
@Sirjeff_D Kabla yangu? Punguza dharau aisee. Watu wanajua zaidi ya unachokifanya na wamekaa kimya, chamuhimu hatutakiw kuvimba na kujiona Bora kuliko wengine. Be humble, unadhani Kila mfanya biashara anajionyesha kwenye social media, unamjua dogo anaitwa mapembero? Nakukubali, be humble