Kuna wakati wewe na marafiki zako au baby mnataka mkae sehemu pametulia mpumzike na kelele za home
‘Ndugu na Jamaa homes’ chilling Spot for you and your Loved ones is now available for Bookings 😍
1 Bedroom with all you need for only TZS 150,000.
📍 Kijitonyama
📞 0773974776
@geoffiejeff Wengi hawaandiki bei because vitu ni negotiable. Ukiandika bei mtu anajua ni fixed hawezi kukutafuta ndio maana hawaandiki bei ili mtu ambaye yupo serious amchek waongee biashara
@geoffiejeff Assume una mzigo mkubwa ambayo ndani ya wiki wote unaisha huwezi anza kuandika tena sold out kila product wakati within a week tena unaleta product zingine. Alafu huwezi futa product kisa imeisha watu wanaotembelea page yako watajuaje vitu unavyokuwaga navyo?