Bro, mwanamke ambae anahisi thamani yako ni kubwa kuliko yeye hatokuhitaji wewe kama rafiki.
Atahitaji uwe mpenzi wake, hatofanya kukwambia kwa uwazi kwasababu pengine anahofia kuonekana wa hovyo na malaya.
Women love power and are naturally drawn to men who are higher than them.
Hapo ni sawa na kufuata sheria kama nature inavyotaka mwanamke awe sio option yake.
Atampenda boss pale kazini sio mlinzi anaefungua geti na kusainisha wageni.
Kwa Heshima, ukiona mfanya kazi mwenzio wa kike ambae yupo chini yako anatengeneza ukaribu na wewe. Automatically ana romantic moves za kimapenzi.
Kama na wewe unamuelewa,usiwe desperate sana muombe out siku moja halafu sukuma tu mlevi.
Inakua kama game umei set kwenye Easy mode.
Mwanamke wa ivo lazima atakuwa mnyenyekevu,msikivu na atakuwa mwelewa na kukubali kuwa chini maana ndio nature inamtuma hivyo mwanamke.
Note:
Sio kwa sababu ndivyo alivyo hapana, ni kwa sababu anajua wewe ni bora zaidi yake so lazima awe down.
Form two ni rahisi kuliwa na form four kuliko kuliwa na form two mwenzie.
Mwanamke anahitaji mwanaume ambae ni bora zaidi yake ndiomaana ni rahisi kumgoda demu anaejua uko vizuri kuliko asiekufahamu kabisa hatakama ni masikini.
Usioe mwanamke ambae ana level ya juu kukulikom
Kuna jambo linanikera sana hasa hasa kwenye mitandao ya kijamii , suala la kuendekeza na kuendelea kusimanga wanaume hasa linapokuja suala la sex.
Kila kona jamii inamuelewesha mwanaume afanye hiki na kile ale vyakula vya aina flani yani afanye kadha wa kadha kusatisfy hii gender ya kike like we lack something yani hili suala ni always men.
Always men at fault na wakati wanasahau kila leo mfumo wa maisha wa mwanamke unaharibu miili na utaratibu mzima wa hormone kuanzia aina ya vyakula wanavyoendekeza kula , aina ya madawa wanayotumia , aina ya vipodozi na aina ya vinywaji wanavyotumia.
Sijawahi kuona hii gender ya kike inashikiliwa accountable na jinsi mfumo wao wa maisha kiasi inapelekea vijana wa kiume kwenda extra mile kuiridhisha hii gender ya kike.
We have to stop this kwa kuelimishana ili kupunguza wimbi la wanaume wanaojihisi ni inferior and insecure na hata kizazi kingine kisiingie kwenye huu mkumbo ambao wanaume wengi sasa tunaufatisha.