We are members of Union of Tanzania press clubs (UTPC) Dar city press members are Writers, Editors and Stakeholders We fight Press freedom & Journalists safety
RAIS SAMIA AZINDUA SHULE YA MIL.800/- ILIYOJENGWA MAKUNDUCHI NA NMB
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amekabidhiwa na kuizindua Skuli ya Maandalizi iliyopewa jina lake, iliyopo Kijiji cha Tasani, Makunduchi, Zanzibar, iliyojengwa na Benki ya NMB
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimesema kimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa zinazosambaa kuhusu mwenendo wa tukio la kikatili lilitokea dhidi ya Binti mmoja Mkazi wa Dar es salaam ambalo lilirekodiwa katika video zilizosambaa.
WATU 11 wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Morogoro, wakiwamo wanne wanaodaiwa kukamatwa na vipande 29 vya meno ya tembo katika wilaya za Kilosa na Morogoro na wengine saba wanaotuhumiwa kujaribu kutapeli watawa wa Kanisa Katoliki huko Bigwa, Manispaa ya Morogoro.
KLABU ya waandishi wa habari ya Dar es salaam DCPC, tunafuraha kubwa kuweza kushiriki katika kongamano siku ya jana 16/8/2024, lililoandaliwa na UNESCO. Tumejifunza mambo mengi yenye manufaa na tuna hamu ya kutumia maarifa haya katika kuimarisha tasnia yetu ya habari! @utpc_tz
*WIZARA YA MADINI
KUIBUKA NA MIRADI MIKUBWA YA KIMKAKATI*
Β° Dodoma
Wizara ya Madini kwa kushirikiana na Kampuni mbalimbali za uchimbaji na uchakataji madini inatarajia kuanzisha miradi mikubwa ya kimkakati itakayohusisha mnyororo
mzima katika Sekta ya Madini.
WAZIRI wa Katiba na Sheria, Balozi Dk. Pindi Chana, ameompa wazazi kuandaa majina ya watoto wao kabla ya kuzaliwa ili kwa haraka wasajiliwe na kupatiwa vyeti vya kuzaliwa baada ya kuzaliwa.
Balozi Dk. Chana alitoa rai hiyo mwishoni mwa wiki jijini Dodoma wakati wa ziara yake.
TUMEJIPANGA KUTEKELEZA MKAKATI WA TAIFA WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA- MRAMBA
Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba amesema Wizara ya Nishati imejipanga ipasavyo kutekeleza Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia (2024 - 2034)
Shirika la Reli Tanzania (TRC), limeomba radhi kufuatia hitilafu ya umeme iliyojitokeza kati ya Stesheni ya Kilosa na Kidete na kusababisha treni ya reli ya kiwango cha kimataita (SGR) iliyokuwa inasafiri kutoka Dar es Salaam kuelekea Dodoma kusimama kwa muda wa saa mbili usiku
WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu, amesema kuna uhaba wa watumishi wa afya kwa zaidi ya asilimia 50, huku maeneo mengi yakiwa ni ya pembezoni, ambako
watumishi wengi wanaomba na wanahitaji kubaki mijini.
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO)
limewatangazia Wateja wake wa Mkoa wa Dar es salaam kuwa kuna katizo la umeme katika maeneo yao ambapo baadhi ya maeneo yamekosa umeme kuanzia saa 5
asubuhi hii hadi saa 8:30 mchana wa leo July 28,2024.
KLABU ya waandishi wa habari ya Dar es salaam DCPC, leo July 26, 2024 imefanya kikao na IMS- internationa Media support pamoja na ubalozi wa sweden.
#dcpc#dcpcnewsupdates#utpc#sweden#IMS