@HKigwangalla hapa kuna mengi Juuu ya pazia c tunawaacha tutawakuta musimu ukiisha kuna mechi saa nane ila mkae muyamalize uzur wote n wanasiasa ss wa mpira mtuache
@shaffihdauda1 Shaffi inauma mwaka Jana walichoma Jez za Simba wakaomba radhi Leo wamempiga na kumchania jez mwanasimba wafungiwe kuangalia mpira la sivyo watu tutakuwa tunaogopa kwenda vwanjan mfano itakuwaje mechi ya Simba na yanga alafu Kagongwa mmojawapo Hali itakuwaje wakat wa kutoka dimbn
@shaffihdauda1 Sis tumeumia na tumepanga kwenye kibanda umiza tutawanyoosha na vle wako wachache watahama ngoja mpaka kieleweke naona washabiki wakipungua vwanjani kuogopa kuuana vinaanzaga polepole badae yanakuwa Majenga walianza kwa kuchoma jez mwaka Jana Leo hv kesho likiffungwa la mkono cju
@Nicobalinda@SimbaSCTanzania@HimidMao Hakuna mtu mwenye alikuwa na matusi kwa Simba Kama here muro lakin hatukuwahi kugombana syo Poa tukiamua kuwafukuza vbanda umiza mtajuta
@shaffihdauda1 Shaffi m ni Mdau wa michezo nina ombi kwako kwa kuwa nujua wewe haubagui mchezo wwte, naomba Kama unaweza kuzungumza na wadau wa ngumi tz na dunian kwa ujumla mkaweza kumsaidia Twaha kiduku akapata kocha zaid ya Yule aliyenaye akapata mbinu Bora,naamin huyu n Tyson w tz plz msaid
@shaffihdauda1 yikpe cyo mzur hata kidogo hawez cheza hata dakka stin, Hana kontro ila anabahat hz mechi mbili ila Molinga n vzur kuliko yikpe subl molinga apate majeraha huyo hata benchi atakuwa haonekan