@YerickoNyerereT Hivi wewe kama kweli ni binadamu mwenye akili timamu, unjitambua na kujiamimi unaendeleaje kung'ang'ania pahala usiporidhikanapo? Si uhame tu uwafate wenzio kwenye kile kijiwe chenu kipya mkaendelee kupiga bingo za udalali wenu wa kisiasa?
Yaani unaonekana kituko kabisa.
Ukiwa muongo unatakiwa kuwa na kumbukumbu!
@MariaSTsehai hii chuki juu Tanzania itafika kikomo siku moja!
Hawa commercial activist hawataweza kuvuruga Amani yetu.
Boniface Mwangi mara ya kwanza alisema aliyemtishia mbele ya Mwabukusi ni State officer, Now anasema amemtambua huyo state officer ni kamanda fau story mbili tofauti kabisa.
Hela ya donor ilitakiwa kuonyesha ilitumikaje script ndiyo wanazikosea!
Now we know kuna wanaotumika kwa maslahi ya mabeberu!
@Tanfootball@TaifaStars_ Charity begins at home!!!
Maliza kwanza shida na migogoro ya ligi yako ya ndani na kuchukua maamuzi sahihi kwa kuboresha bodi ya ligi ya ndani kwani imedhihirisha dhahili mapendeleo dhidi ya baadhi ya timu na bodi kushindwa kabisa kusimamia kanuni kwa upendeleo.
@JamiiForums Kwahiyo bila waziri kutoa maelekezo polisi hawatimizi wajibu wao wa kitaaluma??
Haiingii akilini kwamba waziri anawaagiza polisi kumsaka aliyetishia maisha ya Fr Kitima wakati wao kwa kazi yao na weledi wa taaluma yao walipaswakuwa tayari wanaye mikononi huyo mwarufu.
Maajabu!!
@fbuyobe Madai ya reforms yamekuwepo zaidi ya miaka 4 nyuma, kwanini hayakutekelezwa muda wote huo na kuleta kisingizio cha muda mfupi ulobaki kuelekea uchaguzi?
Nadhani reforms ni muhimu kuliko uchaguzi hivo bora tukausubirisha uchaguzi kuandaa mazingira bora na haki kwa uchaguzi huo.
@AzizMkote@Mwabuk2Boniface A very simple research ni kwamba wengi wa waliojiandikisha ni vijana wa kati ya miaka 18 na 25 waliokuwa wanatafuta vitambulisho (kitambulisho cha mpiga kura) kwa ajiri ya matumizi ya kawaida kwani wengi hawakuwanavyo na wala hawana NIDA; na sio kwa lengo la kupiga kura.
@IAMartin_@fadhilikangusi Wakati ule wa enzi za mwamba kampeni zote za CHADEMA zilizotangulia ulikuwa hukosi field na kutoa taarifa za mikutano yote tena mara nyingi mubashara.
Safari hii vipi mkuu mbona kama bado umekunja ndita kwa kiasi fulani?
@YerickoNyerereT Genge la wahuni nyie na wenzio mliozoea kukiendesha chama kidalali dalali na kila aliyewapinga yeyote mlimfanyia zengwe na kuhakikisha either anajiondoa au mnamzimisha maono na ndoto zake.
@JonMrema@DrCyrilo Alafu wenzio wakaona wewe ndiye afadhari na bora zaidi wakakupa jukumu la kuwa kiongozi wao sio? ๐๐๐๐
Yaani kama wewe hivo ulivyo boya ila ndiye afadhari na bora, sasa sijui hao unaowaongoza wakoje ๐๐๐๐
Natamani uhuru wa mijadala mipana kama hii ya CHADEMA ndani ya chama changu CCM ili hata yale malalamiko ya chini kwa chini ya zile unconstitutional endorsements za ule mkutano mkuu wa mapema mwaka huu kule Dodoma ziwekwe wazi na kujadiliwa kwa uhuru na watu watoe lao la moyoni.