@JohnNgutiCDM Na tunayentegemea kuwa raia mwema mwenye Maadili ya kuigwa ndo huyu anayeokota tissue paper mtandaoni na kusambaza. Watu wa aina yako mnastahili kuchukuliwa hatua kali sana za kinidhamu.ππ
@DeejayQupid@MwangiHub Fly over ni nni kwenye zama hizi za AI. Huu ni Uzuzu uliopindukia kama leo tutaringishiana fly over wakati huna hata pa kuishi!ππ
@OmoxhNaeem @kabrasKe @MwangiHub Ignorant ni nyie mnaotumiwa na wanasiasa kama tissue paper. Kila baada ya miaka mitano mnatumika kuchinjana na muda huo ukipita mnarudia yaleyale kama nyumbu wa Serengeti wanavyoliwa na mamba.ππ
@OmoxhNaeem@William276926 @kabrasKe @MwangiHub Haya tuambie, Ruto yupo hayupo!? Mlidemka sana mkaharibu amani ya Nchi kwa jambo ambalo mlijua kabisa haliwezekani.π
@kabrasKe @MwangiHub Nyie wa Ke ni Mang'ombe pori kabisa (nyumbu), mnauana miaka nenda miaka rudi kwa maslahi ya wanasiasa wachache. Reffer 2007, 2013, 2017 na 2022 na hata leo tunajua yanayoendelea hapo kwenu.πππ
@WanjikuReports@SuluhuSamia Wewe @WanjikuReports na Taasisi yako wote ni wapuuzi tu. Hizo sifa zote ulizotoa zinaihusu kampuni yako inayochukua pesa za mabeberu kwa ajili ya kuharibu tawala za Kiafrika. Haya yana mwishoππ
@moshi34@mayfirsty@MarthaKarua@SuluhuSamia@jumuiya Angekuwa anaogopa asingepeleka kesi Mahakamani. Acheni Mamlaka zitekeleze wajibu wao. Serikali yetu inarndeshwa kwa misingi ya Kisheria, inakuwaje watu wengine mnahofia mtu wenu kufikishwa Mahakamani!?ππ
@Salama59819109@MarthaKarua@SuluhuSamia@jumuiya Kesi iko Mahakamani, hilo neno la kuogopa lipo wapi!? Tunachokizuia ni hizo chokochoko zinazotoka nje ya Nchi. Mambo yetu ya ndani yanatuhusu sisi, hiyo mipango mingine inayosimamiwa na @MariaSTsehai bakini nayo baada ya kupokea viposho vyenu.ππ
@RobertMwakio3@mayfirsty@MarthaKarua@SuluhuSamia@jumuiya Jamaa zenu wapigaji na vibaraka tu, wamelipwa dolari zao kwa ajili ya kuleta chokochoko katika Nchi yetu. Nyie mmezoea kuiruhusu nyoka waingie chumbani ndo muanze kuwasaka. Kwetu tunakuzoom na kukuzuia kabla hujaleta madhara. Waambieni watapata tabu sana.ππ
@PeterKa88543481@MarthaKarua@SuluhuSamia@jumuiya Jitahidini kujifunza na kujivunia Kiswahili, hii ndo lugha yenye asili yetu na inayoubeba utu wetu. Kujivunia Kimbombo ni kukumbatia Ukoloni. Huo ni Uzuzu ππ. Waambieni hao wanaharakati watumie hizo posho za Wakoloni lakini watuachie nchi yetu, waache ukibarakaππ
@mayfirsty@moshi34@MarthaKarua@SuluhuSamia@jumuiya Katika watu tunaowadharau kiuongozi EAC nyie ni wa kwanza . Hatuna Cha kujifunza kwenu. Waambieni akina Maraga na wenzake waende Nyandarua wakashughulikie suala la Kasisi John Maina kabla ya kuleta chokochoko zao nchini kwetuππ