@april_7teen @gudume_ Amri ya sita sio "Usizini"
Halafu Amri za Mungu sio za kutweet-tweet bila kuzingatia mantiki ya unacholenga.
#NimekuonyaOnyaNaWengine.
"Mungu, ambaye alisema zamani na baba zetu katika manabii kwa sehemu nyingi na kwa njia nyingi,
mwisho wa siku hizi amesema na sisi katika Mwana, aliyemweka kuwa mrithi wa yote, tena kwa yeye aliufanya ulimwengu".
Hebrew 1:1-2.