@AMBROSEMICHAEL7@eastafricatv Hao ni maafisa utumishi, na watendaji wa kata ambao ni official watendaji wa uchaguzi. Hz nafasi za chini za vituo kusimamia bado na hao wanaapishwa na watendaji kwenye halmashauri husika
Kwa Mara ya kwanza NMB ilishinda tuzo ya Euromoney mwaka 2013,
Kwa mapenzi yaliyo mema na upendo wako naombeni Retweet hi tweet kwa
Wingi sana leo hadi kesho tufikishe Rt
Zaidi ya 500 tuna weza 50k ninashida
Na hi pesa sana
Twende kazi 💪💝🙌
@Kinubi2@hpolepole Kuna huyu hlf kuna Dr Mathayo David was Same magharibi anagawa rushwa balaa. Kagawa kwa wilaya juzi tena kapeleka watu wake Moshi wakahonge Mkoa iliwampitishe amemzidi Angellah Kairuki kura 89 tu
@BestaMlagila Upatikanaji wa dawa kwa wakati wa nyoko wakati mwaka was fedha 2019/20 hkn ht senti moja ya pesa za ruzuku zilizoingizwa kwenye vituo vya Afya. Sisi ndio tunajua uhalisia maana tupo field sio nyie watu wa mapambio
@itzjacton Long distance zinawenyewe Mimi kuna demu kaenda Dar juzi kwenye Interview mie nipo mkoani nimemcheki jana zaidi ya masaa 7 hajibu sms wala hapokei simu from saa 10-5 usiku badae namuuliza y ananijibu kichwa kilikuwa kinamuuma. Nilichofanya ni kufuta no zake na kuhesabu tu ex