@Nnauye_Nape Kaka naomba wabunge wa CCM wasicheze na Maslahi ya wafanyakazi kwa kupitisha sheria mbovu Bungeni. Hawana uchungu na muswada ule wa pension kwa sababu nyiie hauwahusu. Jenister Mhagama ajiuzuru
@zittokabwe Mwalimu alitabiri yote haya katika moja hotubs zake. alisema "iwapo nchi itapata Kiongozi asiyetumia Busara katika kuitumia Katiba hii ya 1977, anaweza kuongoza kwa mujibu wa UDIKTETA"
@hpolepole@MagufuliJP@hpolepole siwezi kukuelewa ulijfanya ni mfuasi wa katiba ya wananchi, kumbe ni mnafiki. Sasa unaikanyaga katiba ya CCM na umekua dalali wa kununua wabunge na madiwani. Hii ni aibu CV yako imechafuka