@tanpol Kila kukicha watu wanapotezwa na hakuna majibu wala kukamatwa kwa watu wasiojulikana. Kazi yenu ni nini kama kila anayepotea hakuna majibu? Kila kukicha uchunguzi unaendelea uchunguzi mpaka lini? Wakitajwa polisi ktk matukio ya utekaji mnajifanya kutishia raia ili iweje?
@Mwabuk2Boniface Mimi najiuliza jeshi la polisi zima tanzania tunalipa kodi zetu kwao. Kwa maana ya mishara ili iweje? Maana hakuna majawabu kila siku watu wanapotezwa. Inamaana hii nchi haipo salama sasa.
@tanpol Ukweli wananchi tumechoshwa na hii hali isiyokuwa na majawabu. Kila kukicha watu wasiojulikana je lini watajulikana? Na nini kazi yenu na tunawalipa mshahara wa kodi zetu ili mfanye nini kama tunaishi kama digidigi maporini?