Baada ya dakika 120 bila mbabe kati ya Ureno na Slovenia huku Ronaldo akikosa mkwaju wa penati dakika ya 105, mlinda mlango wa Ureno, Diogo Costa anaibeba Ureno Mabegani mwake akicheza penati zote tatu zilizopigwa na Slovenia na kuipeleka Ureno Robo Fainali ya Euro 2024.
“Mradi wa kuendeleza Bonde la Msimbazi ni mradi ambao Rais Samia yeye mwenyewe ameuasisi na ametukabidhi zaidi ya TZS bilioni 400 kwenda kuimarisha kingo za mto Msimbazi, kwenda kujenga na kuimarisha barabara ya Jangwani ikiwa ni pamoja na daraja la Jangwani liwe daraja la kisasa kabisa kupata kutokea nchini.” – Mohamed Mchengerwa, Waziri wa TAMISEMI
Mfungaji Bora wa Ligi Kuu Norway ‘Eliteserien’, Amahl Pellegrino anayeichezea Bodo/Glimt ni miongoni mwa wachezaji 53 walioitwa na Kocha Adel Amrouche katika kikosi cha awali cha timu ya taifa, Taifa Stars 🇹🇿 kwa ajili ya maandalizi ya fainali za mataifa ya Afrika (Afcon).
.
Pellegrino (33), aliyezaliwa na kukulia Norway msimu uliopita nyota huyo mwenye asili ya Zanzibar alikuwa mfungaji bora wa Eliteserien baada ya kumaliza akiwa na mabao 24 ambayo yaliisaidia timu yake kuchukua ubingwa wa ligi. Mbali na Pellegrino majina mengine mapya kwenye kikosi cha awali ni pamoja na wadogo zake na mchezaji wa zamani wa Chelsea, Adam Nditi ambao ni Zion (Aldershot Town) na Roberto (Forfar Athletic).
"The Church was buried in the catacombs; she rose again with Constantine. She died in the Dark Ages; she rose again with Charlemagne. She died with the Renaissance; she rose again with the saints of the Counter-Reformation. You cannot kill the Catholic Church."
—Fr. Ronald Knox
@fumbokhanJr Acha mapenzi ndugu, huyu hata nusu ya mess hafikii, the guy is extremely gifted and talented brother. Ronaldo is the hard working guy hilo nalikubali ila kipaji na uwezo hata ukimuuliza Ronaldo mwenyewe anaweza akakubali.
Finally, trailer ya Karibu Kijiji cha Milele imetoka. Waigizaji maarufu kutoka China wakiongozwa na Muigizaji bingwa Jin Dong walitembelea Tanzania kuigiza filamu hii kuadhimisha miaka 60 ya uhusiano wa kimatibabu baina ya Tanzania na China.
Viongozi bora wa mpira wamekutana, Rais wa heshima wa klabu, @moodewji akiongea na Rais wa FIFA, Gianni Infantino na pembeni ni Mwenyekiti wa Bodi, @salim_tryagain akiongea na Rais wa CAF, Patrice Motsepe. #AFL#WenyeNchi#NguvuMoja
Kocha Mkuu wa klabu ya Simba, Robert oliveira 'Robertinho' mara baada ya matokeo ya mabao 2-2 dhidi ya Al Ahly, amesema kuwa mpango wake wa sasa ni kupata matokeo ya ushindi kwenye mchezo wa marudiano, utakaopigwa Oktoba 24 jijini Cairo, Misri