@EsirEid@Mackincheese23 Unalinganisha utumwa wa Afrika ambao hata miaka 500 hauna.. Utumwa wa wayahudi n zaidi ya miaka 2000 wanahangaika duniani.. so lazima identy itapungua shauri ya kuzaliana na jamii zingine..
@MariaSTsehai@SuluhuSamia Tangu slaa asaliti chadema na kuhamia ccm, kupewa ubalozi na kushinikiza mbowe afungwe jela akisema n gaidi.. Haikutosha akamuundia mbowe zengwe ati n mlamba asali m Sina hata uchungu hata kidgo.. Aendelee kukaa tu huko aipate freshi.. msaliti huyo
@Kilwa_finest Sema story ya kubuni sana hii.. Kimsingi huwezi ukapata HIV na baada ya miezi 6 tu ukaanza kuonyesha dalili za UKIMWI stage three and four.. Hizo dalili ulizozitaja hapo n stage three na four.. zinachukua zaidi ya miaka kadhaa kujitokeza
@JoshuaBoaz37401@YerickoNyerereT@ChademaTz @golugwa @MMatojo Waliokuwa wanamzushia huu ujinga walifanya hvyo kwa kujua kabisa watz weng n zero brain wanaenda na upepo tu bila fact.. nitajie mwandishi yoyote dunian aliyeandika kitabu bila references.. Achilia mbali mwandishi.. nitajie any research bila references
@JoshuaBoaz37401@YerickoNyerereT@ChademaTz @golugwa @MMatojo Ujanja gani kafanya, huna hoja.. Ko n kosa kwa mwandishi kufanya citation na mwisho afanye acknowledgement kwa kuweka reference?? Km haujui taalama ya uandishi n heri unyamaze kimya
@MMatojo Umeishiwa hoja, mtu kufanya citation na mwisho ameweka reference kuku'acknowledge hapo utasema ni pragarism?? nitafutie kitabu chochote au research yoyote ambayo haina references..