Kuna mstari kutoka kwa Fid Q kwenye nyimbo ya usinikubali haraka ft Matonya anasema “niimbie usiulize ya Rado umkele Fid Q”
Yes, usiulize ni dis track ambayo fid Q hapendi kusikia sababu nyimbo hiyo kutoka kwa msanii Rado ni distrack kwa FID Q.
Kisa nini?
#THREAD 👇👇
Video ya Shetta ‘walewale’ ilifanyika Dubai Na baadhi ya vipande vikamaliziwa Tanzania.
Ni moja ya video ambazo Shetta alitumia pesa nyingi sana kutokana na director Nick wa South Africa ambae alipaswa kushoot alishindwa kufika sababu passport yake ilikuwa
Wakutanapo watu watatu wanaokujua bila wewe kuwepo, uwezekano ni mkubwa kuwa mmoja ni mwendesha mashtaka, mmoja ni shahidi wa upande wa mashtaka na mmoja ni hakimu. Mtetezi na wakili wako ni tabia yako, matendo na kumbukumbu nzuri ulizowaachia katika maisha yako.
Wimbo gani ni bora wa muda wote wenye CONTENT ya
Mama?
1. Mama by - JumaNne Idd
2. Mama by - Ommy Dimpoz & Christian Bella
3. Mama by - Banana Zoro
4. Mama by - Aslay
5. Mama by - Kayumba
6. Mama by - Bashary
7. Mama by - Kayumba
8. Mama by Harmonize
Me: No. 1.