Ndani ya nchi hii MH mpina ndiye mbunge pekee wa CCM ambaye avai mabango ya SSH na sio chawa Kama wengine.
Kapiga kwenye mshono Sana,tumpe pongezi bila choyo.
Retweet & likeπͺ
@Tanfootball@tplboard@CAF_Online Mechi za Simba na yanga zinapaswa zichezeshwe na waamuzi kutoka nje, humu ndani ni kuhatarisha maisha yao tu, maana mashabiki hawajui mistake kwenye hizo gemu...
@Tanfootball@tplboard@CAF_Online Tangu muanze habari ya VAR sasa tumechoka, siku wakiuana watu ndo mtajua umuhimu wa hiyo kitu . Kamala alichukua mpira nje ya uwanja akaludisha ndani watu wameweka kati... BORA ufiwe na ndugu sio kutapeliwa haki Yako , hatakana ni ndogo lakini haki ni haki
@kikomasta Dogo zele, sikia nikuambie kitu, hivi unajua wewe ugoro haukufai kutumia! Uliwaza Nini mpaka ukaamua kuingia vitani na huyo mpumbafu Chinjachinja Putini, sasa pambana fala wewe tuone
@kikomasta@rollymsouth Kwani lazima wote tuaniliwe? Jambo la msingi ni watawala kuangalia namna Gani ya kuwezesha raslimali kuwa myaji wa wazawa... Nenda mkoa wa Mar, Kuna migodi kibao lakini 80% ya wakazi ni masikini wa kutupwa.. sehemu yoyote kwenye Mali asilia wakazi ni masikini mkuu