Japo sina Elimu ila nimewaza endapo presha ya kimataifa itazidi kutokana na ripoti kama ya CNN na hatua za Bunge la Ulaya, Serikali ya Tanzania huenda ikachukua hatua zifuatazo si kwa sababu ya kujali wananchi, bali kujilinda kimamlaka na kujiokoa kidiplomasia