“…Wasanii wengi ni waoga. Wasanii wengi hawapendi bugudha. Wasanii wengi wanapenda vitu vya mteremko, vitu rahisi rahisi…hata sasa hivi ukiona Wasanii wengi wametunga nyimbo.
Wasanii wengi wana makosa mengi wanaona bora wajipendekeze kwenye chama tawala..’’ Baba Levo
REPOST 200
TUTAKUWEPO🫵🏾😎