@bmuajir03@DNdagala So sheria ilitungwa kwa bases zipi...saudi inaendeshwa kwa sheria za dini not otherwise hauwezi ukatenganisha ichi kilichofanyika na uislam๐..sharia law, mtakufa sna kwa kukosa maarifa
@safarimlevi Dah....umaskin mkuu ni mbaya sana plus ubinafsi ndo unatufanya kuwa hapa...mtu akishakuwa na kakitengo hata ka kumuingizia buku tu basi mambo ya nchi hayamuhusu๐ฅบ