@MariaSTsehai@kimbungakimbu Mimi sio mwanasiasa lakini nimekuwepo awamu zote. Ukizungumzia takwimu lazima uzungumzie na msingi wake. Kwa mfano ukisema Mzee Mwinyi alikopa sana kulinganisha na GDP, inabidi ueleze GDP ilikuwa kubwa kiasi gani, na pia alipoingia madarakani na alipotoka ilikuwaje.
@SuluhuSamia Naungana na wewe kutoa pole kwa Wananchi wa UAE kwa kumpoteza kiongozi wao shupavu. Nimepitia katika machapisho machache na kugundua kuwa huwezi kuzungunzia kuundwa kwa UAE bila kumtaja Sheikh Tahnoon. Ndio maana UAE wanaomboleza kwa siku saba.
Mungu ampe pumziko jema.
@Eddo142 Kiingereza ni lugha. Sasa wako wanaojua kiingereza lakini hawana stadi za maisha. Wakati watu wanajikita kwenye AI sisi bado tunatafuta kuajua wanyama kwa kiingereza tena sio kwa scientific name. Sasa tubadilishe mtazamo kidogo kwa maendeleo ya haraka.
@lifeofmshaba@SuluhuSamia It only six months. If everything was done as fast as you would her to have them done, it will be chaos. Let us give her time to do some of the things in an orderly manner.
@darmpya_@hpolepole Katika kipindi chote cha mapambano na Covid-19 sijawahi kusikia dawa iliyogunduliwa na Jeshi. Kama ipo basi haikuwa effective ama sivyo umma ungeifahamu. Yawekwe mazingira wezeshi kwa taasisi za serikali na sector binafsi kutafiti na kuzalisha dawa.
@lifeofmshaba Kwa kuanzisha usafiri wa basi ambao ni state owned tungekuwa tunarudi nyuma. Kilichofanyika ndio sahihi kwa kutengeneza mazingira wezeshi kwa sekta binafsi kutoa huduma ya usafiri. Na hapa siri ilikuwa kujenga barabara ya lami.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt John Pombe Magufuli: Maombi ya kubadili jina la Uwanja wa Taifa kuwa: Uwanja wa Benjamin William Mkapa - Sign the Petition! https://t.co/UNzq8AOuwP via @Change
Go BWM go! You did a lot for this Nation. You will will remember for your frankness and walking the talk. The Engineering Community and the Construction Industry will always remember you for the capacity building initiatives for the local engineers and related disciplines.