‼️HUYU NDO SHEIKH UBWABWA, MWAIPOPO CHAWA WA IDD AMINI MAMA‼️
Huyu anaejiita Sheikh Mwaipopo jina lake ambalo alipewa na wazazi wake ni Thomas Nestory Mwaipopo,
kazaliwa kijiji cha Ukumbisiganga, Kata ya Ukumbisiganga Wilaya ya Kaliua huko Tabora, hapo awali alikuwa ni Mkatoliki.
Alisoma shule ya msingi Ukumbisiganga baada ya kumaliza darasa la saba alianza kujihusisha na tabia za uhalifu ikiwemo ujambazi.
Kuna siku Sheikh Mwaipopo alivamia duka la watu huko Tabora, mwenye duka akapiga kelele za mwizi Wananchi wenye hasira kali wakamdaka wakati anajaribu kukimbia walimpa kipigo cha mbwa koko ambacho kilimsababishia ulemavu wa kudumu maana alivunjwa mbavu na kama asingeokolewa na Polisi huenda angekuwa alishauwawa.
Baada kipigo kitakatifu kutoka kwa Wananchi wenye hasira kali, Thomas Nestory Mwaipopo aliamua kubadisha dini kutoka Roman Catholic na kuwa Muislam hapo ndo akapewa jina la Saidi Mwaipopo, akaacha kutumia jina la Thomas Nestory Mwaipopo.
Baada kuslim alijiunga na makundi ya mihadhara Jijini Dar kwa kudanganya kwamba yeye alikuwa mchungaji wakat hajawai kuwa Mchungaji so Viongozi wa kiislam wakawa wanazunguka nae huku na kule.
Baada ya Nduli Idd Amin Mama kuingia madarakani na kuanza kufanya mambo ya kishenzi watu walipoanza kumkosoa na kupinga ushenzi wake wakati wanatafuta muislam ambae anaweza kupambana na wakosoaji wake kwa kisingizio cha kwamba Nduli anakosolewa na kupingwa na watu kwasababu yeye ni Muislam ndipo wakapewa huyu Sheikh Mwaipopo so kuanzia hapo ndo akaanza kushughulika na kila ambae anamkosoa Nduli.
Serikali haram ya Nduli Idd Amin Mama huwa wanatenga bajeti kabisa wanampa kwa ajili ya kutoa hayo matamko ambayo mnaona anatoa kila siku na kujaribu kugawa watu kwa misingi ya dini.
#TANZANIA:PROF. ASSAD:NILIJUA KAULI ZANGU ZITANIGHARIMU LAKINI SIKUWAHI KUOGOPA VITISHO
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mstaafu, Mussa Juma Assad, amesema alifahamu tangu mwanzo kuwa baadhi ya kauli zake pamoja na barua alizoandika zingeweza kuwa na gharama kwake, lakini aliona ni muhimu kuweka ushahidi wa maandishi ili kujilinda na kuwezesha uwajibikaji pale ambapo angehitajika kutoa maelezo.
Profesa Assad, ambaye aliteuliwa kuwa CAG mwaka 2014 na baadaye kuondolewa madarakani mwezi Novemba 2019 kwa kile kilichoelezwa kuwa amemaliza muda wake, amekuwa mmoja wa viongozi waliowahi kujizolea umaarufu kutokana na misimamo yake kuhusu uwajibikaji na usimamizi wa matumizi ya fedha za umma nchini.
Akizungumza katika mahojiano na chombo kimoja cha habari nchini Tanzania, Profesa Assad alisema maneno na mazungumzo yana gharama zake katika maisha ya kawaida, hasa kwa mtu anayesimamia misimamo inayoweza kuwakwaza baadhi ya watu. Alieleza kuwa hata barua alizokuwa akiandika kwa ajili ya kuweka kumbukumbu na ushahidi alijua zingeweza kumletea changamoto siku moja, lakini aliona hiyo ndiyo njia sahihi ya kujitetea endapo angeulizwa kuhusu maamuzi au hatua alizochukua.
Profesa Assad alisema licha ya changamoto hizo, maisha yake yamekuwa bora zaidi tangu alipomaliza utumishi wake kama CAG, akibainisha kuwa amekuwa akipata heshima kubwa kutoka kwa wananchi na marafiki zake kuliko hata alipokuwa madarakani. Alisema anaendelea kutembea mitaani kwa uhuru na kushirikiana na watu wa kawaida ambao wameendelea kumuonesha heshima na kuthamini mchango wake katika utumishi wa umma.
Aidha, alikiri kuwa amewahi kupokea vitisho kutokana na kazi na misimamo yake, lakini akasisitiza kuwa hajawahi kuwa mtu wa kuogopa. Alisimulia tukio moja alipokuwa akitembea kutoka ofisini kuelekea msikitini katika eneo la Mosko, ambapo alipigiwa simu na kuonywa kuhusu kuonekana akitembea mjini.
Hata hivyo, alisema alimjibu aliyempigia kuwa hana hofu yoyote kwa sababu anaamini wananchi ndiyo walinzi wake wakubwa.
"Tumewahi kutishwa, lakini mimi si mtu wa kuogopa. Kuna siku nilipigiwa simu nikaambiwa, 'wewe unaonekana unatembea mjini, hilo jambo si zuri.' Nikawaambia sina tatizo, hawa hawa watu wa mjini ndiyo watakaonilinda mimi," alisema Profesa Assad.
We all have seen what is happening in Uganda and Tanzania.
Fellow Kenyans, do we want to go there?
There is a dire need to unite and rescue our country now, before we descend into a place that may take decades to recover from.
#FixingTheNation
@ntvkenya With Kenyans being deported and banned from Uganda and Tanzania, we need to stop pretending East African Community is anything other than a club for the presidents and industrialists
Martha Karua: If it's an offence for me to go to East African countries, yet I am holding an East African passport, is there an East African Community?
watu wanaweza kusita kusema hivi hadharani, but this is purely a religious issue, na sababu pekee huyu mpumbavu anaweza kuwa na uthubutu wa kusema hivi hadharani, bila consequences yoyote, ni kwa 7bu yeye ni muislamu na rais ni muislamu mwenzake. huo ndiyo ukweli:
My rebuttal to Kanza’s explanations:
When you avoid truth, nothing will ever change. That is the core issue here. Mnakataa ukweli.
What we are seeing is a consistent pattern of denial, no matter how much evidence, testimony, or international concern is presented.
The European Parliament has spoken. In the United States, the bipartisan Reassessing the United States–Tanzania Bilateral Relationship Act, that passed the Senate Foreign Relations Committee last week. The bill explicitly references concerns regarding human rights violations, repression, and restrictions on freedoms in Tanzania, including concerns about civic and religious space. Kwa nini mnakataa ukweli?
No one is denying that Tanzania has historically enjoyed interfaith harmony. Many of us, including myself, come from interfaith families. I had a Christian mother and a Muslim father, and we lived in harmony. But that lived reality does not erase what is happening now.
Churches were closed & disrupted, worshippers beaten involving Bishop Gwajima’s church, the beating & torture of Fr. Charles Kitima, public threats directed at Pastor Wilbrod Slaa and Pastor Bagonza, and religious leaders across denominations expressing fear and concern. We have video footages, evidences and testimonies. Bado mnakataa. These are not isolated claims. They form part of broader concerns regarding intimidation, selective enforcement, and the lack of accountability when religious leaders or worshippers are targeted.
This is precisely why early warning signs matter. Dismissing concerns instead of addressing them has proven dangerous in many countries around the world like Nigeria where Christians are targeted and killed.
On October 29, 2025, Tanzania experienced violent post-election events involving killings, arrests, and widespread repression. Families are still grieving. Accountability remains unresolved. Yet the official narrative continues to minimize or redirect attention away from what occurred. Yaani- lies and propaganda.
This international response is not imagined. It is not one voice. It is multiple institutions and stakeholders responding to consistent concerns.
During our peaceful protest in Washington, D.C. on October 17, 2025, individuals linked to the embassy engaged in counter-mobilization and disruption of peaceful civic expression. I was there and witnessed it firsthand. Before October 29th, concerns were raised. Warnings were given. People spoke. Tanzania embassy in DC tried to interrupt our peaceful protest -yaani hata international protocols wanavuruga-
Just past Saturday I was asked on interview whether concerns were first raised through diplomatic channels before approaching U.S. institutions and international platforms.
My answer remains simple: Yes. Concerns were raised through appropriate channels, ila hawawikilizi.
More recently, a Muslim sheikh publicly issued threats, yet such statements have not appeared to result in accountability. At the same time, Christian leaders have faced scrutiny and repercussions simply for speaking truths. This Brings division and is very dangerous.
This is not about attacking Tanzania. It is not about dividing Christians and Muslims. Many of us come from both faiths and deeply understand unity.
This is about something far more serious:
• Truth versus denial
• Accountability versus narrative control
• Human rights versus political image management
• Protection of all citizens regardless of faith or political belief
Because when governments consistently deny concerns, refuse accountability, and dismiss international scrutiny as misunderstanding, trust collapses. At the end, truth will prevail.
Only truth, accountability, and justice will move Tanzania forward.
Enough is enough.
Denying the real issues and continuing to promote a false narrative of peace only pushes Tanzania deeper into crisis.
https://t.co/LSzlkUw0JV
MKE WA LISSU AKIONGEA KWA UCHUNGU MKUBWA SANA NDANI YA BUNGE LA ULAYA, ALIPOKUTANA NA KAMATI YA HAKI ZA BINADAMU YA JUMUIYA YA ULAYA https://t.co/jzAR6mLG9j
Leading Kenyan lawyer and former Justice Minister Martha Karua has been blocked from entering Uganda and ordered to return home, according to the Uganda Law Society. https://t.co/jRSTfPio7m
Thank you for being a real life Super Daddy ❤️
You raised and protected us despite huge responsibilities in your career and still watch over us from Heaven! You left us with a wealth of knowledge and values!
As I promised you - we will keep the dream alive ✊🏽🔥
Happy Father’s Day to all super dads!
Sio serikali ya Tanzania iliyoamua kuwanyima waumini wa Kanisa la Gwajima haki yao ya kukusanyika kuabudu kwa kufungia kanisa lao kwa sababu tu kiongozi wake alikosoa unyama wa Mtukufu Samia?🤔🤔
Sio serikali ya Tanzania iliyoanza kuwa-attack Maaskofu wa Kanisa Katoliki na waumini wao kwa ujumla kwa sababu tu walitoa Waraka unaokemea mauwaji ya halaiki yaliyotekelezwa na Samia?🤔🤔
Sio serikali ya Muislam Samia iliyoamua kwa makusudi kutumia baadhi ya viongozi wa dini Kiislam kutangaza kwamba watakata Wakristo vichwa kwa sababu wanampinga Rais wa Kiislam?🤔🤔
Nini tafsiri ya yote haya ndugu Daktari @eskanza ?🤔🤔🤔
President Nandi-Ndaitwah’s State Visit to Tanzania must not be reduced to ceremonial photographs and liberation nostalgia.
Namibia must honour Tanzania’s past solidarity, but we must not use that history to excuse present repression.
If Namibia’s liberation struggle taught us anything, it is that silence in the face of injustice is complicity.
President Nandi-Ndaitwah must raise the detention of Tundu Lissu, the allegations of post-election killings and abuses, and the urgent need for constitutional and electoral reform.
True friendship is not silence. True African solidarity means standing with the people when democracy is under attack.
#FreeTunduLissu #Tanzania #SADC #Namibia
Dr. Elsie Sia Kanza’s argument implies two flawed premises:
1. Peaceful social coexistence between Christians and Muslims proves religious persecution is impossible.
2. Mixed religious leadership means religion plays no role in conflicts or crackdowns.
She leans on shared victimhood and joint protests as “proof” it wasn’t religious persecution. This dodges the evidence entirely.
None of that addresses the actual patterns:
✍️Targeted security force actions: Arrest demographics, shutdowns of churches, the brutal attack on Catholic Priest Fr. Charles Kitima (TEC Secretary General, outspoken government critic), abductions of other Catholic priests, and restrictions on worship, assembly, and religious speech.
✍️samia suluhu hassan’s own words: Telling religious bodies like the Tanzania Episcopal Conference (TEC) they should not “dictate how the country is run” — a clear signal of state tension with organized religion that dares to question power.
✍️Legal tools for control: The Registrar of Societies can deregister religious organizations (and has) if, in their opinion, their conduct “endangers peace and stability.” This gives the state broad power to silence critics under the guise of order.
Coexistence doesn’t erase targeted repression against vocal faith leaders and institutions. Shared protests don’t explain why specific priests and churches faced violence and scrutiny while calling for accountability after disputed elections.
This isn’t harmony — it’s selective pressure on those who won’t stay quiet.
Tanzanians, especially believers, deserve truth and justice, not deflection.
#SamiaMustGo #TanzaniaMassacre #FreeTunduLissu #JusticeForKitima
My Christian Father, My Muslim Mother, and My Country's Truth https://t.co/XIugmjyIG6 via @allafrica