Nitaichukua hiyo 500,000/= nitatafuta wakatoliki wenzangu 99 jumla na mimi tunakuwa 100 tunaenda mbaka ubalozi wa Vatican kumshitaki P.KTM tukirudi tunagawana hiyo pesa ili kila mmoja wetu akakuze uchumi wake. #TajiriLaKihaya
#TajiriLaKihaya
Siku ya Birthday Yangu,19th January Napotimiza Miaka 31.
Nitatoa Zawadi ya 1m.
watu wawili (ME na KE) kila mmoja atapata Laki 5.
Unachotakiwa kufanya niambie hio
TZS 500,000. nitakayokupa utaifanyia Nini Au itakusaidia kuSolve tatizo gani?
Comment au Quote hii Post Tu!
Tuna siku 10.
Mwisho ni tarehe 18 saa nne asubuhi. Muda ni mrefu ili watu wengi waweze kuona hii - hasa Wale ambao hata bundle la kuingia humu wanapata mara moja moja saana!
Hapo nitasoma Comments na Quotes zote- na ITAKAYONIGUSA atapata laki 5 saa sita usiku 19th january!