Statistically;
Pale mahusiano yaliyopevuka au ndoa inapovunjika, wanaume mara nyingi ndo wanakuwa affected moja kwa moja. Ni rahs kwa mwanamke kuheal up mapema kuliko mwanaume.
Wanawake husema na hujionyesha, wanaume huugulia ndani na kuficha maumivu. #Depressionisrealmen
@1xbetAfrica4@Jambotv_ Hi video haina lengo la kumtoza mtu yoyote hela, mfanyabiashara ana haki ya kutumia agent yoyote amtakaye na jumuiya haihusiki na visa. Kuhusu hivyo vitu kama leseni sio mara zote vinaulizwa, ila agharabu baadhi watu wanaulizwa pale ambapo afisa uhamiaji anatafuta taarifa zaidi.
Asilimia kubwa ya Mapenzi yanayoimbwa Kwenye nyimbo, au yanayokuwa portrayed kwenye movies huwa hayafanyi kazi kwenye maisha halisi tunayoyaishi. Na ukijaribu kuyafuata hayo mtaani unaweza ukaachwa au ukaacha. #LiveYournature
โHakikisha kama huna kijiko basi itangulie sukari kisha umimine chai. Hii ni tofauti na kulazimisha kuvaa socks juu ya viatu baada ya kusahau sio kila kitu kinaweza kuanzia Mbili kwenda Mojaโ #Respectivelly
โWakati unapambana na Kumuomba Mungu ili upate hela umlipe anayekudai, huku mdai wako nae anakuGANGIA usifanikiwe kwa sababu hujamlipa hela yake๐ โ
Welcome to Extra Mileage. Ship your goods from China to Tanzania at an affordable price. Contact us; +8613016006986 (WhatsApp) or visit our office located at Dar es salaam Tanzania, and Guangzhou & Yiwu China ๐จ๐ณ