Managing Director at DVK Attorneys/Practising Advocate(LLB&PGDLP), and specialized legal scholar on Constitutional and Administrative Law(LLM).
LLB-SAUT, LLM-MU
Mbunge kutoka Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Simai Mohamed Said amesema kuna mtu ndani ya Serikali aliyembatiza jina la ‘Yuda’ ambaye amewasaliti wenzake ikiwemo familia aliyomlea akisema amewaumiza watu wengi wakiwemo wanasiasa, watendaji serikalini na watanyabiashara.
Said amesema ‘Yuda’ huyo kwa sasa ameibuka katika nyumba za ibada kutafuta huruma, huku akisema mtu huyo alipendwa zaidi ya Rais wa awamu ya tano, Hayati John Magufuli.
#KitengeUpdates
"Jus Cogens" Under International Law. Probably the two houses have legitimacy to ascertain whether jus cogens are well observed within our territory despite of being sovereign................
@UlimwenguJm@KisongaRauce Inashangaza sana pale Bunge la Ulaya na Marekani yanapojali Maisha ya Watanganyika huku Bunge letu likiwa limelala using usingizi wa pono
Hakuna ubishi kwamba Tanzania ni Dola Huru, inaongozwa na Katiba yake pamoja na Sheria, Kanuni na Taratibu. Pia hakuna ubishi kwamba Tanzania inawajibika katika Sheria za Kimataifa ambazo imeridhia, pia hakuna ubishi kwamba Tanzania inawajibu kwa Jumuiya za Kikanda na Kimataifa.
Mbunge wa Ikungi Magharibi, Elibariki Kingu ameshauri Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Azzan Zungu na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mahmoud Thabit Kombo waende kuzungumza na Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani.
Ushauri wa Kingu unakuja huku kukiwa na hali ya sintofahamu kuhusu Muswada uliowasilishwa na Maseneta wa Marekani katika Bunge lao ukiwa na mapendekezo mbalimbali ikiwemo kuzuia Viza kwa baadhi ya Viongozi wa Tanzania.
Akizungumza leo Mei 26, 2026 wakati akichangia mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwa mwaka wa fedha 2026/2027 Bungeni Jijini Dodoma, Kingu amesema hawezi kuwalaumu Maseneta wa Marekani kwani inawezekana wamesikiliza taarifa za upande mmoja.
“Siwalaumu wale Maseneta wa Marekani yawezekana wamepata habari ya upande mmoja Mheshimiwa Spika kwa heshima na taadhima mimi nakujua wewe ni Mwanadiplomasia mahiri fanya mpango ongozana na Waziri Kombo nendeni mkakae na Kamati ya Mambo ya Nje ya Marekani, sisi Watanzania tunawataka Wamarekani na Marekani wanatuhitaji Tanzania”
#MillardAyoUPDATES
Zamani kwenye Madarasa ya Itikadi salumu pendwa iikuwa "Nitasema Kweli Daima Fitina kwangu Mwiko" Chama cha Mapinduzi kilijengwa kwenye Misingi kadhaa, Msingi mkuu ni Ukweli, Uwazi na Uwajibikaji ndani ya Chama na Serikali. Anyway..........
"Tujisahihishe" J.K. Nyerere. Mkwamo bila Ungamo hautatuliki, Ungamo bila Maridhiano ni bure, Maridhiano bila Haki ni kupoteza muda, "Never Again" bila Uwajibikaji ni komedi.
Profesa mkongwe wa Sheria nchini Profesa Issa Shivji ametoa simulizi ya kihistoria ya ghasia za dola na vitendo vinavyofanywa na polisi nchini Tanzania, akitaja majanga maalum kama vile mauaji ya katika shamba la sukari Kilombero na mauaji ya wafanyabiashara wa Arusha ili kuangazia ukosefu wa uwajibikaji unaojirudia.
Akizungumza leo, Mei 16, 2026, kwenye Kongamano la Kitaifa la Wadau wa Demokrasia lilioandaliwa na chama cha ACT Wazalendo jijini Dar es Salaam, Shivji amejenga hoja kuwa haki yenye maana haiwezi kupatikana kupitia ripoti za serikali zinazotoka juu kwenda chini au mikutano ya milango miwili, kwani mbinu hizi mara nyingi zinafeli kuleta mabadiliko ya kweli. Badala yake, Shivji ametoa wito wa kuwa na mjadala wa umma jumuishi, akisisitiza kuwa amani inategemea daraja la uwajibikaji lililojengwa na wananchi wenyewe.
@Mwabuk2Boniface@zittokabwe Hivi tuliandaliwa vyema kupokea na kuishi ndani ya Mfumo wa Siasa za ushindani? Kabla ya 1990's Chama kilishika hatamu na kupata utamu wa madaraka, je baada ya 1995 Chama kiliacha kushika hatamu na utamu wa madaraka?
Kuna Kitabu cha J.K Nyerere nadhani title yake ni "Uongozi na Hatima ya Nchi yetu". Baada ya kusoma maandiko mengi nakiri kwamba Mfumo wa Vyama Vingi ulianzishwa Nchini kwa utashi wa Mwalimu Nyerere sio dhamira ya Chama chake. Chama chake kilipokea kwa shingo upande.
@MsigwaGerson Mh. baada ya kupanda kwa bei ya gesi, upi mpango wa Serikali katika kuhakikisha unafuu wa bei ya nishati safi ili kulinda mazingira yetu?
"Tujisahihishe" J.K. Nyerere. Huenda Mwalimu aliandika Kitabu hiki kwa matumizi ya sasa. Sio dhambi kujisahihisha na kukiri madhaifu yaliyopo maan sote ni Wadhambi.
@ayubu_madenge Atachapika tuu maana Wanachama wa NATO washaanza kuwalida Wadau wao hivyo mashambulizi mengi ya Iran yataishia kudakwa alafu US na Mnyahudi wanakipiga cha ndimu.