Dua zenu nimetoka nyumbani leo asubuhi. Maana mambo ni mengi sana.
1..Mkesha wa Christmas
2..Boxing day..
3..Wikiend
4..Mkesha wa mwaka mpya
5..Mwakampya wenyewe
Najiona kabisa kurudi nyumbani tena ni mwakani..!! ππ
WAFANYAKAZI DECEMBER HII WAKO LIKIZO
KAMA UNAENDA KAZINI BADO BASI JUWA WW NI KIBARUA
msinichoshe mambo ya nikikupigia cm unasema niko ofisini nitakuchek baadae π€£π€£π€£
LUGHA MAARUFU ENZI ZILEEE.
1. Lete Tulivyokaa
2. Muongeze 5 huyo
3. Mbona bia haziendi?
4. Usiulize, wee Ongeza tu
5. Mbona jikoni hawatusikilizi?
6. Nimesema Mbuzi mzima!!
7. Hamishia opener hapa hapa?
πPOMBE ZA STAREHE ZIMEKWISHA SASA TUMEBAKI NA POMBE ZA HASIRA NA STRESS TU
MERRY CHRISTMAS & HAPPY NEW YEAR
Nimewambia mapema nina kiu ijumaa leo maana
Sina ela ya bia jamani nauza cm yangu nitakuwa sikk whatsapp πΊππ
MKE : Mume wangu huyu Mvulana nimemtoa kijijini kwetu atusaidie hapa nyumbani ukienda kazini
Atakuwa analala kule stoo
MUME : Aaah sawa sawa bado mdogo sana huyu kijana inaonyesha hawezi kutusumbua haina Shida Mke wangu.
Baada ya wiki moja kupita π
MALIZIA WW HAPO....