@OscarMaboko@VictorKepha@VendyLM@DrToyota Kutaka kupanda wa mwisho kosa no 1.. kosa no 2.. kuendelea kupiga alivyoandaa show,team yake ingemshauri abadilishe playlist agonge hits only ku-rescue... anapiga nyimbo za kwenye EP 😂 hits anazipiga slow version 😂 au hataki ushauri?
🔥 A Massive Thank You to Our Incredible Party Rockers 🙌📸 Your Electric Energy Lit-Up BITE VIBES Night ✨🌟We're beyond grateful for the unforgettable moments shared at @gwambinalounge_
@deejaykflip @FRANCMYLEZ Kila dj ana taka kushine na imani ni kwamba yule alipiga hivi akaruka nao na mimi na pita uko uko experimentation is part and passel of a dj so as unajua kabisa watu wangu wana taka nini.. i second what you say my brother @deejaykflip
@FRANCMYLEZ Most djs wapo na library ndogo ya mziki,kuna baadhi ya ngoma zinatakiwa zitoke kabisa kwenye rotation,swala sio tu bongo flava kuna Latino,Hip hop,Dancehall na Pop kaaaali sana ila hazipewi nafasi kwenye Premium outlet’s,pakiwa na lineup ndefu ndo kila dj anarudia same playlist
@OscarMaboko@djdhifa Most djs wapo na library ndogo ya mziki,kuna baadhi ya ngoma zinatakiwa zitoke kabisa kwenye rotation,swala sio tu bongo flava kuna Latino,Hip hop,Dancehall na Pop kaaaali sana ila hazipewi nafasi kwenye Premium outlet’s,pakiwa na lineup ndefu ndo kila dj anarudia same playlist