ππππππππ ππππππππ°
Wananchi tayari wameanza safari ya kwenda Azam Complex, Chamazi kushuhudia mchezo wetu wa kwanza #NBCPremierLeague msimu huu dhidi ya KMC FC
Full Video Yanga TV | YouTube
#TimuYaWananchi#DaimaMbeleNyumaMwiko
@dj_maliz@tanescoyetutz@dj_maliz Hatuwezi kumsahau Ndugai,,,,,,, Michezo inayofanywa na Tanesco ni Balaa mfano leo mitaa yetu Kilimahewa,Kaburi moja, wamekata umeme wamerudisha jioni half kirumba umeme Upo tangu Juzi haujakatwa yaani huu ni mgao wa aina gani,,?
Picha zoote hizi nilizipiga wakati wa kampeni 2015 kwa kuwa nilibahatika kuzunguka Nnchi nzima ila kilichoshangaza ni kuwa kila Mkoa au eneo tulilofika tulikuta kama sio jiwe basi ni ukuta Umeandikwa βChagua Mwiguluβ najaribu kuwaza Je hiyo team iliyofanya hiyo kazi bado ipo?