Mzee wetu uliagiza wakati umekuja kufungua stendi ya mabasi Nyamhongoro kua kabla chrismass wananchi wa wilaya ya ilemela tuwe tumepata maji, lakini siku zinaisha na hatuoni jitihada zozote za sisi kupata maji @dr_mpango
@tanescoyetutz Kutokana na kukatakata umeme mara kwa mara mita yangu naambiwa ime Tamper toka jana asubuhi mpaka sasa ni giza tu na hakuna msaada zaidi ya mafundi kuja na kunijuza tu ime Tamper. Ukiwapiagia cm zaidi ya mara mbili huwapati tena namba inakua busy muda wote. @JMakamba
@tanescoyetutz Sasa hivi Mwanza kuna migao ya umeme aina mbili. Kuna mgao mkubwa tuliozoea na kuna mgao mpya kwa sasa. Jirani yako ana umeme wewe huna hata siku mbili. Hasa maeneo ya mitaa midogo ndo balaa. Barabara kubwa unakuwepo coz kuna wakubwa wanapita. Baadhi ya mitaa ya ndani giza.Yaani!