@fumbokhanJr Ww kwann wazazi wako wakupeleke shule ukafundishwe na waalimu??? Kwani wao hawajui kusoma Wala kuandika?? Ukiweza kupata jibu la Hilo swali utakuwa umepata jibu la swali lako hilo
@samwelo149@HESLBTanzania Yan sjui kwann wanatufañyia hv ahsee,,wengi wameacha chuo mwaka wa kwanza wakitegemea sahv watapata nyongeza lakn wapi,, continuous wote wana 100% sjui kwann sisi mwaka wa pili wametufanyia hvo @HESLBTanzania
@HESLBTanzania Tuoneeni huruma mwaka wa pili,,230k ya ada haitoshi,,,Bora hata mwaka wa kwanza mmewapa 530k,,lakini sisi mbn mnatufanyia hvo,, continuous wengine wana 100%,,,mbn sisi tu ndo mmetuminya
@HESLBTanzania Ahsee ila mnachotufanyia mwaka wa pili ahsee cyo sawa,,just imagine ada inabid ulipe 1.3M af unapewa ada 230k,,kwa usawa huu tutashindwa kuendelea kwa kweli,,mwaka Jana tumesoma kwa shida tukiwa na matumaini mwaka huu tutapata 100% kama continuous wengine lakn dah😓😓
@HESLBTanzania Kwa hiyo 230,000 ya ada mnayotulipia mwaka wa pili ahsee hadi nguvu za kwenda kujiandikisha hatuna,,,maana boom lote itabidi tulipie ada tutaishije kwa Hali hii ahsee
@SheviSantos@HESLBTanzania Yan watu wanawaza kuacha chuo huku ahsee,,tulipambana kibishi mwaka wa kwanza tukajua labda tutaongezewa sahv ila mambo yenyew yamekuwa kama hivi,,dah
@nhiftz@wizara_afyatz@TZMsemajiMkuu@bima_afyatz Naomba niulize,hivi ntajuaje kama kadi yangu ya bima bado una matumizi??,,maana sisi wanachuo hatujapewa kadi za bima tunatumia namba ya NIDA,,kwahyo hatufaham hata tareh ya mwisho wa matumizi