@tanpol , Bodi ya michezo na sanaa Tanzania na idara mbalimbalj zinazohusika na hili, hivi hizi Silaha ambazo huonekana kama Toys huwa zinaingizwaje mjini humu??? Wakati onyo limeelekeza kabisa, halafu hakuna tahadhari zozote za zaidi.. Kuna shida sehemu.
@mtaafuni@mshambuliaji Hivi ushawahi kujiuliza kwamba askari huwa wanapigana na kutukana??? Mbona hatuoni wakiletwa mahakama za kiraia?? Tuache mihemko.
@usembassytz "Location frequented by US citizen and other Westerners" Sasa misikiti inaingiaje kwenye mashambulizi na hizo migahawa/hoteli??
Misikitini tutakwenda kuabudu Mungu na wakituuwa itakuwa bora zaidi.