@ShijaDenis Shida n kuwa hizi vitu unazijua na kufuatilia wewe Kaka
Nd mana kuja mtu anatumia pixel 4 au 3 leo na anaona iko fresh haigand
Au pixel 9 au 8 mtu atasema processor ip down kwa ambae hajui
@ShijaDenis Niwaambie tu ukiingia huku bas sahau kutoka
#SayHellotoGooglePixel
1. UI bora ambayo iko very smooth yan nyepesi
2. Kioo kizuri chenye rangi nzuri ambayo unataman kuangalia simu
3. Camera bora na ya kisasa ambayo itakupa features zote za muhmu.. ii ipo tokea pixel 3