Mmeanza kusikia milio huko ๐๐ sasa hapo bado
Uto walikuwa wanafosi game ichezwe zanzibar na waliwatumia mpaka wakubwa wao huko juu wawasaidie ila mnyama akasema kama mimi ndo mwenyeji nataka game ikachezwe kwenye uwanja wangu wa nyumbani meja jeneral isamuyo
Kuanzia jumatatu kwenye vipindi vyote vya michezo ajenda kuu itakuwa ni kuwa uwanja wa meja jeneral isamuyo hauna hadhi ya kuchezewa derby hii ni agenda maaalumu iliyoandaliwa ili kuwapiga presha bodi ya ligi
Viongozi wa Simba hapa wamechagua kuwasikiliza wanasimba ambao asilimia 99.99 walitaka game ichezwe meja jeneral isamuyo
Na baada ya kikosi kurejea kutoka zanzibar mazoezi yetu tutakuwa tunafanyia pale pale isamuyo ๐๐