Malezi niliyolelewa ilikuwa ni ole wako utamani soda ya mgeni au ule kwa watu.
Leo hii ukiniuliza ni kitu gani naogopa, nitakujibu kusahau nilipotoka.
@AziziKasese
Nimetoka kwenye malezi ambayo kwa mtoto ni kosa la jinai kuchagua chakula, ni kesi kuchelewa kurudi nyumbani.
Na ilikuwa unaweza kuchapwa na mzazi ambaye sio wako kama ikitokea umetenda kosa mbele yake.
Usithubutu kumkufuru Mungu kamwe!! Narudia tena usithubutu kumkufuru Mungu kamwe!!!
Mmiliki wa meli kubwa kuliko zote ya Titanic ⛵️ alisema: "Hata Mungu hawezi kuizamisha
meli hii”, unajua nini kilitokea? Meli ⛵ ilizama muda mfupi baadaye.
Marilyn Monroe alisema: "Simhitaji Mungu", siku 3 baadaye alipatikana amekufa.
Binti mmoja alikuwa anaenda kutalii na marafiki zake kwa gari yao ndogo. Mama yake akamwambia binti yake, "Mungu awe nawe". Cha ajabu binti akajibu, Kwenye gari Hakuna nafasi. Labda huyo Mungu aingie kwenye buti nyuma ya gari, maana yake hakukuwa na nafasi ndani ya gari isipokuwa kwenye buti. Katika safari yao walipata
ajali mbaya ambapo watu wote waliokuwa ndani ya gari hilo walifariki dunia lakini kwenye buti kulikuwa na Trey ya mayai ikakutwa nzima halikuvunjika yai hata moja. Kumbe ni kweli Mungu alikuwepo kwenye buti.
Baba moja alimwambia mwanawe, "Mungu akulinde", mtoto akasema, "rafiki zangu watanilinda kuliko Mungu", alipokuwa akirudi kutoka kazini kwake risasi iliyopotea ilimuua ambapo marafiki zake walimtazama tu lakini hawakuweza kumlinda.
Mvulana alikwenda ibadani na kukojoa ndani akisema "hakuna MUNGU", siku iliyofuata alipoteza mikono yake, na kukiri kuinajisi nyumba ya Mungu.
Mwanaume mmoja alipata ujumbe huu na kuufuta akisema ni nini hiki?!! "Mungu hayupo", mtu huyo aliteseka kwa miaka 8 kabla ya kifo,
Mtu mwingine alipata ujumbe huu na kuusambaza kwa watu wengi iwezekanavyo alipandishwa cheo katika kazi yake.
MUNGU hufungua milango ambayo hakuna awezaye kuifunga. Na kama humhitaji MUNGU puuza ujumbe huu na usiueneze............ 😔
Ujumbe unalenga kuzunguka ulimwengu mzima.
Rais wa Argentina aliupokea ujumbe huu na kuupuuza, baada ya siku 8 mtoto wake alikufa.
Mtu mmoja huko Tanga alimdhulumu mtu fedha milioni moja ya shamba. Baba mmoja akamwambia, wewe humjui Mungu. Huyo mtu akajibu, "Mungu, Mungu ni kitu gani? Hakuna Mungu" Baba akamwambia, basi kama humjui utakutana naye njiani. Alipokuwa kwenye safari zake, akakutana na majambazi wakamuua na wakachukua fedha laki tatu tu, laki saba zikabaki kwenye mfuko wa bukta ndani ya suruali. Akakutwa ametupwa porini. Watu wakatoa taarifa ikafahamika kwamba ni yule aliyekufuru.
Ujumbe huu ni mtakatifu na wa miujiza. Shiriki hii neema kwenye vikundi 5 tofauti vya WhatsApp na andika neno "Amen" Kisha subiri katika siku 5 zijazo utapata jambo la kushangaza. Usipuuze!!!
Baraka itakuja kwako kwa namna ya ajabu ikiwa ni nyumba, ndoa, fedha au kazi.
Usiivunje au kuuliza maswali, huu ni mtihani.
Je, MUNGU ndiye wa kwanza katika maisha yako? Ikiwa ndivyo, acha unachofanya andika neno "Amina" na👇
...Pia kama bado sija ku ADD kwenye group la "ELIMIKA WHATSAPP" basi nitumie meseji apa, tujumuike wote...👇
https://t.co/834VkDbCUX
Basi nita ku ADD ni free tunashare mambo ya muhimu tu kujifunza🙏
Nilicheka sana lakini nilielewa hekima aliyotumia katika kulijibu swali langu.
Hakuishia hapo ila akamalizia kwa kuniambia, "Ukipata muda nenda mtaani waambie vijana ulichojifunza."
#JIFUNZEKITU📌
Tukiwa katikati ya matembezi yetu,nilimuambia Mkurugenzi wa @Gsmgroup_ (GHARIB GSM)
"Boss, ukiingia mtaani wapo vijana wengi ambao wamehitimu vyuo wakiwa na vyeti vyenye ufaulu mzuri tu na wengi wao hawana ajira au wanaishia kufanya kazi za kawaida sana”👇
Boss akanijibu kwa kusema "Siku Moja chukua CV yako, kisha angalia sehemu ya Referee wako, wapigie simu jifanye kama wewe ni mkurugenzi wa kampuni fulani na unataka kujua kuhusu wewe, usikie maoni yao..Unaweza kuta mchawi wa maisha yako yupo kwenye CV yako.."