kwa ushirikiano na UDART mabasi mapya yameanza kubeba abiria kwenye barabara ya mwendokasi kuanzia Kimara Mwisho kuelekea Gerezani, Kivukoni Morocco
Hivi ndivyo watu wakiwa wamepanga foleni kuyapanda mabasi hayo kwa heshima na ustaarabu wengi wakiishukuru serikali kwa Utekelezaji.
Kazi Na Utu Tunasonga Mbele.