#SGLT2i 🫱🏾🫲🏽#MRA foundational therapy
as class I recommendation for all patients with HF
irrespective of LVEF
massive workflow implication: implement early after HF syndrome established alongside further LVEF phenotyping!
#ESCGuidelines#ESCCongress
@advocate_silayo@bway_de Hizi kwa ilivyo siku hizi labda hospital za level ya chini sana maana taasisi kubwa za afya nowadays wako kwenye paperless mode saiv na nhif system imekuwa linked na EHMS so ni ngumu sana kufanya fraud yoyote. In short wanaona kila kitu anachofanyiwa mgonjwa
@BDonD_@makumbawaleo_5n Kuna tofauti ya kusema Mimi ni mbobezi wa kitu Fulani na Mimi ni Bora kuliko wengine katika kitu Fulani, huyo wa kwanza anatoa taarifa kwa wateja wake huyu wa pili anajivutia wagonjwa na ndio inayokatazwa.
Kutofautisha ni rahisi sana unless umeamua usilione hivyo
@BDonD_@makumbawaleo_5n Hicho sio kiapo original Doc hiki kimetoholewa sana mpaka kufikia hiyo Swahili version.
Nadhani kosa ni kujitangaza kwa lengo la kujisifu na kuwadrag wengine chini, but hakuna shida yoyote kusema wewe unatoa huduma Fulani na Fulani
@BDonD_@makumbawaleo_5n Abdon unafahamu kwamba original Hippocrates oath inataka wewe unipatie hela nikihitaji kwa sababu wewe ni mwanafunzi wangu na zaidi inakutaka uwachukulie wanangu kama wadogo zako na hivyo uwasaidie?
Oath ina kitu kimoja tu ambacho hakitakiwi kubadirika kamwe nacho ni *Do no harm*
@MatumlaAJ@fundo_baraka@MVaslisa Bro nimewahi kutana na kijana mmoja wa kuitwa Dr Evarist Nyahinga from pale Gomz yule dogo anajua na namaanisha anajua so ni unavyojiweka tu
@OnlineDentistTz@MVaslisa I beg to differ. I have seen best interns from abroad tena China and I have seen worst Interns from home . Nadhani ni mtu sio pahalia
@akilnyingi Katika kupambana na Non Communicable Disease huwezi mkwepa Nutritionist, Bahati mbaya sana Bongo tumechelewa kuanza kuwatumia hawa wataalamu katika hospitali zetu. Hawa mpaka ICU Wana mchango mkubwa sana kwenye matibabu ya wagonjwa. Tuwaheshimu
@MaxTz255_ Zote ni nzuri zote zinalipa ila zinalipa zaidi kama hawa wawili wakiungana kufanya kitu kimoja.
NB wote wakipata mitaji wanaweza kufanya vitu vikubwa kila mmoja kwa nafasi yake