Hakuna siku nimeumia sana baada ya kukutana na kauli hii "The best part of Excuses is that they make sense" !
Take a break.....
Like, Repost & Follow me @ben_elybest
Kabla sijaelezea kidogo, labda nikukumbushe kitu, bila shaka upo tayari? Oooh... yes! ๐
Tunakuja kushituka mwana anaenda kuaga mwili picha zake akiwa red carpet na ulinzi juu zikaonekana, qmmk tulichoka ๐๐
But pale skuli alikuwa low key kinoma
Kuna mwana pale Sengerema PCB nae ilikuwa hivi, full kujichanganya, usafi hazingatii, yupo life low-key akaja kuzinguana na HP, kichwakikuu akamchongea jamaa akapewa suspension akija aje na mzazi ile anarudi picha linaanza kashuka kwenye V8 na mlinzi juu,
Siku Magufuli ameafriki
Hakuna watu wenye siri kama watoto wa watu wazito serikalini.
Kuna mwanangu mmoja kipindi tunasoma kula nae sana mihogo, mtania sana, ikafika hatua tukawa tunaamini ni mgonga ulimbo mwenzetu maana hata jina lake la ukoo halikuwa miongoni mwa wale watu wazito kiasi kwamba uhisi ni mtoto wa taikuni.
Ila alitushangaza sana siku ya mahafari tunashangaa mgeni rasmi anasema hapa nina mtoto wangu pia anasoma naomba asimame ndio tunashtuka janja anasimama.
Tuliishiwa pozi maana huyo dingi yake anasafiri na msafara na alikuwa ni kiongozi mkubwa sana wa kijeshi๐
Baada ya kumaliza masomo tukajaga tu kusikia mwana anasoma Urusi huko,hakuwa mwenzetu ni wakishua aliyeweza kuishi kiugonga ulimbo kutuchanganya mashabiki๐
Nimejaribu kufuatilia mjadala huu, ninachoweza kusema ni hiki,
Kulingana na Muktadha wa Mathayo 18, Biblia inatoa mpango wa msamaha wa mwanadamu kwa mwanadamu, kwamba hata upande ulioumizwa usipotaka kusamehe, kwa kipindi kirefu, mtu huyo huchukuliwa kama "Mtu wa mataifa" ...
Na sisi binadamu kwa uwezo wetu hatuwezi kumwelewa Mungu kwa kila anachotenda, kiasi kwamba
"The Moment we fully understand God, the most high - He stops being GOD!"
Ikitokea tukamuelewa Munhu, huyo anakuwa sio Mungu tena! Kwa sababu...
Hekima ya mwanadamu ni..
TURUDISHE TABASAMU LA CATHERINE NA FAMILIA YAKE. Tuma mchango namba 0740264760 Voda Jina:
Catherine johaness protace
Catherine johaness protace ni mwanafunzi wa mwaka wa 3 Chuo cha CBE Dare es salaam.
Anaishi Mtaa wa Mashine ya Maji Kata ya Buza Wilaya ya Temeke Dar.
Catherine amekosa matumaini ya kuendelea na Chuo baada ya kaka yake Baraka Chacha Mwita aliekuwa anamsomesha kuvunjwa miguu yote miwili na kupewa kesi ya Uhaini, mpaka sasa yupo gerezani.
Mahitaji muhimu ya Catherine na Familia yake.
1.Ada ya Chuo Million 1
2.Bima ya Afya
3.Kodi ya Nyumba
4.Mahitaji ya kila siku
5.Matumizi ya Kaka yake magereza.
Tumchangie kiasi cha Million 5, namba yake ni 0740264760
Catherine johaness protace
@adventistchurch Field : North West Tanzania Field
Conference: West Tanzania Conference
Union: Northern Tanzania Union Conference
Division: East-Central Division (ECD)
ONE GLOBAL ADVENTIST FAMILY from Tanzania ๐น๐ฟ