@brother0101_hq Kuna slay queen aliomba kubadilishiwa hela,anadai imechakaa,konda alimjibu kwa sauti kubwa ili wote tusikie,Mnazikataa mchana usiku mnazikubali
UBAYA UBWELA UNAKUJA.
Zamu yao kupitia MAUMIVU TUNAYOPITIA NA FAMILIA ZETU.
REPOST 200๐ฅ๐ฅ๐๐
#FreeMdudeNyagali#Freemdude#TUTAKUWEPO๐ซต๐พ๐
Rais wa Klabu yetu na Mwenyekiti wa Shirikisho la Vilabu Afrika(ACA) Eng.Hersi Said alivyotambulishwa Bungeni leo na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu.