Kuna sehemu gari za kichina zinabeba point nyingi sana mbele ya gari za kizungu ambazo zinatamba kwa ubora zaidi...
Just imagine hapa SCANIA kayatimba af mchina ndo anatoa backup..!! ๐ ๐๐พ
Nimeona wajumbe wengi wanadiss sana ile habari ya #BLUE_COAST kuwa hana mbavu ya kumsogelea #BHAKHRESA kwenye angle ya uwekezaji hapa Tanzania, wanasema huyu ni mjasiliamali tu mbele ya AZAM..
Hivi kweli mpo seriously mnataka kusema jamaa hana pesa ya kusumbuana na AZAM..?!!! ๐ค
Hapa X unaeza kuta mtu hata hamjuani na bado akakuchukia tuuu bila sababu... Kuna wengine hata hatuingiliani ktk hustle zetu!! Nashangaa sana unanichukia mm kisa kupost haya majeneza (Truck) ambalo linakuzika muda na mahali popote... #UBINADAM_KAZI๐๐๐พ
Usiombe ukakutana na chuma yenye hizo taa za #Laser_Headlight km huna macho mazuri nyakati za usiku UTAJUTAAAA.... kuchochora ni kugusaaa...!!! โ ๏ธ๐๐ค
Siku hizi madereva wa mabasi wengi wao wanakimbilia kwenye malori... Mabasi yamekua yamoto sana sahivi, yaani kufungiwa leseni ni kugusa tuu.... Msishangae kuwaona wakali waliotusumbua na G7 wakiendesha FAW zetu.๐คช๐๐พโโ๏ธ #GADEMIT
Oyaaa wanang madereva tujitahidi sana kusali, hawa matajiri wanaloga sana aseee 90% ya tajiri wenye pesa ndefu ni za kafala kwa wafanyakazi/ndugu zao!! Kuna ajali nyingine ni maelekezo ya kuzimu si za kawaida #aTrust_Me๐ค
Nyie mnasema Bhakhresa ana jeuri ya PESA.... Hivi mmemuona huyu #msukuma wa kwanza kushusha hizi S450 piruuuuu kwa East Africa, af mbaya zaidi chuma mgongoni zinang'ata Tani 20 za bia tuuuu!!
Oyaaa kina ngosha wanapindua meza kibabe sanaa...๐คช๐๐พ