๐ง TUCHANGAMSHE AKILI KIDOGO.
Biblia n Quran n vitabu ambavyo inasadikika kua vimeandikw ( vinahitaji upeo wa juu kuweza kuelewa ) n watu ( mitume) wenye uwezo mkubwa sana kiakili, fikra n mawazo pia mfano Musa mpaka kuja kuongoza wana wa Israeli,โฆโฆ
Umesoma bible knowledge au philosophy kuweza kuelewa nini maana ya Yesu au kwnn Nabii Muhammad ( SAW ). ๐๐
โUsiwe na miungu mingine ila mimi.โ
Hyu mimi n nani, kwanini mimi au ndio wachina waabudu sanam wote moto, wahindi ๐. Kwamba shetani anatisha, siku ya mwisho kuna moto,
Wata tweet kuhusu inflation cjui n nn zinazofany pair kuchez kwenye price range flan lakini mwisho wa cku trend line zitatembea trading view, raha sana ๐๐..
#TapInEntries