Duniani kuna wasichana warembo sana
Utakutana nao
-mtandaoni
-barabarani
-gym
-kazini/ kwenye biashara
-safarini
Ukitaka kila msichana mrembo unaekutana nae uanzishe nae mahusiano you are GONE
Na kuna position ukiwa karibia kila unaekutana nae ndio atatamani kuanzisha mahusiano na wewe, hiyo stage ni hatari zaidi
Ukiweza ku-control tamaa, utaweza ku-control mambo mengi sana, na utaongeza chances zako za ku- WIN kimaisha