@bonifacejoseph_ nimewahi kata mwezi vipo kwa nje majirani wakawapa wale wa kuokota vyuma chakavu.. wakanambia tulijua havifanyi kazi tena kwamba nmevitupa
@George_Ambangil@mzee_mbuzi we malengo yetu kaka umeyajuaje si ndo maana nasemaga we mwenzetu..
ila ni ukweli mtupu epl ilikuwa must kbsa kuliko ya kesho sina presha hata
@Sativa255 mnanikwaza sana mkiweka Arsenal na umama wenu huo. Arsenal haihusiani na umama wowote ule. Arsenal ni Arsenal na nyie na mama enu mtajua wenyewe
@Roma_Mkatoliki Kwa haraka haraka mkoa maskini ni Dodoma ila wanaishi tu matajiri..
hivi ukitoa zabibu kuna jambo gani lingine ambalo wengine hawana.
ila mkoa tajiri nafkir Geita iwepo huko kila kitu wanatoa dhahabu hadi kwenye majaruba ya mpunga kuhusu kilimo karbu kila ktu wanalima
@PolycarpMDM ninaweza sema nina ngoma zote za Dizasta na ninazo zote za Rapcha
kila mmoja anaumiza kiupande wake wote wakali wanatoa burudani safi bana..
@PolycarpMDM wote wanaopiga ishu za cargo hao watu basi tu ila ile miili inatumika beyond kabisa na hela yao ndo ya chini sana kiasi wanaishia kulewa tu kupooza nafsi...
@mchizidamas sa hiv tunawapokea kama wanavokuja..
milio ya nokia tushaizoea maan wakifanya wao ni mbinu nzuri tukifanya sisi tumekosa mbinu
tutaishi nao hv hv wanavotaka wao
@thisistemidayo ile ilokuwa inapewa penalt kushinda kwa mzee Wenger yan timu mpaka ibebwe na marefa ndo mshinde hamkuwa na tofauti yoyote na morocco afcon
@Allypapala@PolycarpMDM iliwahi ntokea hapo njombe nmelala lodge nkaulzwa nkuletee shuka lingine nkawa sjaelewa akauza code nkuletee mali unalalaje peke ako baridi ya mwezi wa 6 hii
@ReganTesla_ hakuna penalt mtu anajikosesha na analenga golini angepiga nje sawa.
unapiga golini vipi kama golia angelala direction ingine au kwa sabab kaidaka ndo mnakuja na hizo stori
halafu panenka huwa penalt nzur tu kama golia atalala ufunge ila ikitokea vile haijawah kuw nzur
@KibwanaEdgar mimi sidhani kama wameitia aibu Africa ila wamewapa angalizo juu ya waamuzi na maamuzi yao binafsi ndani ya uwanja
fitina za nje ya uwanja ziishie nje na fitina za ndani ya uwanja zibaki baina ya wapinzani sio viongozi nao wachague upande NO.
@PolycarpMDM kukaa kwangu kote dodoma sijawahi ona wala kuoneshwa uwanja unaojengwa zaid ya eneo tu ila hakuna kinachoendelea sijui walibadilisha location labda