Jana Latto alipost kuhusu hii project, ambayo ni moja ya Big fish investments, ipo pembeni ya bahari pale masaki,. Siku moja nilienda kiofisi(Winga), nlipata wasaha wa kuzungumza na moja ya project manager, akasema ujenzi ndio upo 50% lakini tayari kila mahali pameshachukuliwa na advance payment imeshafanyika.
Inamilikiwa na moja ya mmiliki wa moja petrol stations kubwa nchini.
hapa kutakuwa na malls, hotels, shops and offices... wenye hela ndio wanapata hela๐.