🤣 anyway, let’s all agree Internet inatutanya tuchukuliane poa.
Mfano kwako naweza kuwa mdogo sana(sijui) ila nakupiga spana kama mdogo wangu au rika langu.
Imagine one of the trusted youth wa Nyerere era, anaonekana hafai na hii OBESITY.
Nyerere fufuka uone izi TAKATAKA.
Easier said than done.
Even the CPP had tons of trouble doing this. President Xi's early policies were heavy on correcting it effects... to appease the masses.
In Tz, Magufuli made plenty of permanent enemies just to widen a few stretches of city roads by 1-2 lanes.
Marafiki zangu wa jamuhuri ya Twitter. @TweveDevota@MkulimaKante@TitoMagoti@Ntobi_ Nasikitika kuwa mtumwa wa maradhi mwaka mzima. Leo nimekuwa mtu wa kuvaa pempasi kila siku. Naombeni munipushi nipate hela ya pempasi ndugu zangu. M-Pesa 0754 500572. Joseph Mrungu. 👇
@bwaya BASIC EDUCATION ni muhimu sana, inadharaulika kwa sababu ya ugumu wa maisha baada ya kuhitimu lakini ni muhimu.
Tufocus tu kuona namna ya kuendelea kufupisha muda wa kukaa darasani AU kuboresha kinachofundishwa kwa huo muda mrefu
Speaking as a OL dropout i see the advantages
Mahojiano kama haya yanayofanywa na Waziri wa Elimu mwenyewe Prof Mkenda, kwa kiasi kikubwa, yanachangia kubadilisha mtazamo wa jamii kuhusu elimu, wasomi na nafasi ya sayansi na tafiti katika kutatua matatizo yanayowagusa watu.
Tunahitaji juhudi kama hizi kuondoa mawazo yanayopandikizwa kwa vijana kuwa kama ‘ujanja ujanja’ unalipa basi hatuhitaji elimu. Hongera kwa Waziri Mkenda na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia.
Mmoja hawezi pambana na system nzima iliyo embrace mediocrity.
😅 top leaders wa gvt na chama wanaonekana na kina mwijaku, dotto na the likes na wanawapa kipaumbele huku hao hao ndo wanakashifu elimu/wasomi.