I congratulate the National Board for Accountants and Auditors @nbaatanzania for giving importance to MENTAL HEALTH.
I was honored to facilitate a discussion on Mental Health Beyond Numbers at a Workshop that is part of NBAA Soft Skills Seminars.
Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kiume inatukumbusha umuhimu wa kulea na kusaidia wavulana wanapokua na kuwa watu wazima wanaowajibika na wenye huruma.
Ujumbe uliojumuishwa ndani ya siku hii unasisitiza kwamba kutengwa, chuki, na vurugu ni hatari kwa maendeleo ya mtoto wa kiume, na inaweza kusababisha tabia isiyo sahihi katika ujana.
Kuna wito wa dharura kuchukua hatua ya kuangazia tena mazingira ya nyumbani na shuleni ili kulinda ustawi wa mtoto wa kiume. Kwa kutoa upendo, mwongozo, na mfano mzuri, tunaweza kuwawezesha wavulana kupitia changamoto za maisha kwa ujasiri na uadilifu.
Kwa Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kiume hii, tuendelee kutoa salamu za upendo kwa wavulana wote. Kumbuka, ni sawa kabisa kueleza hisia zako, kutafuta msaada unapohitaji, na zaidi ya yote, kubaki mwaminifu kwako mwenyewe.
Kuendeleza kanuni hizi kunajenga utamaduni wa uelewa, kusaidiana, na kusaidia, na hivyo kufungua njia kwa wavulana kufanikiwa na kuchangia kwa maana katika jamii.
Heri ya Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kiume! 🎉👦🏾🇹🇿💙
@UNICEFTanzania@rollymsouth@MarekaMalili
Bango letu ndugu zangu kwa ajili ya kumtumia na mwingine aelewe uwepo wa huduma hii ya Upendo ili akiona amebarikiwa nayo basi achukue hatua pasipo shaka ya usumbufu usio wa lazima.
Shukrani 🙏🏽🇹🇿
TAARIFA KWA JAMII;
Mahsusi kwa wenye moyo wa upendo wa kulea watoto Malezi ya Kambo na baadae Kumuasili awe wake kisheria.
UTARATIBU;
1. Maombi huwasilishwa kwa Mkurugenzi wa Halmashauri.
2. Afisa Ustawi wa Jamii humtembelea mwombaji na kufanya tathmini.
3. Taarifa huwasilishwa kwa Kamishna wa Ustawi wa Jamii Wizarani.
4. Iwapo hakuna hoja pingamizi, kibali cha mwombaji kumtambua mtoto hutolewa.
5. Afisa Ustawi wa Jamii huendelea kufanya ufuatiliaji wa maendeleo ya familia iliyomtambua mtoto na kupewa wamlee malezi ya kambo.
6. Taarifa ya maendeleo ya malezi ya kambo baada ya mathalani miezi sita hivi huwasilishwa tena kwa Kamishna, kwa ajili ya kuthibitisha kuwa maendeleo ya malezi ya kambo ni mazuri, hakuna changamoto hiyo, kibali cha kwenda mahakamani kuomba ridhaa ya Kuasili mtoto huyo kitolewe.
Tafadhali tuelimishe wengine, maana wengi wanapenda kufanya malezi ya kambo na kuasili ila hawana taarifa za utaratibu.
Iwapo kuna changamoto au hitaji la ufafanuzi, namba za simu kituo cha wizara: kupiga 0734986503/ 0262160 250
Kupiga na kuandika ujumbe 0774112233/ 0769608130/ 0766400168.
Iwapo kuna atakayehitaji rufaa kwa Waziri kwa kuokoa muda, aandike ujumbe na atume kwenye na. 0765345777 nakala 0734124191 kisha, nitamuongoza, kumshauri au kutatua changamoto yake kulingana na ilivyo.
Ulimwengu wa kidigitali ni chachu kwa maendeleo na ustawi wa jamii 🇹🇿
Tunawajali Wateja wetu, 🙋
Karibuni, mweleze habari hii na mwingine. 🙏🏽
Tanzanian Psychological Association (TAPA) will host a Practitioners Get Together on 9th September 2023.
Discussion Topics:
1. Thinking and Talking as a Scientist: Truth and Lies about Psychology
2. Management of private practice: Ethics and Standards
👇🏿
https://t.co/096Agyga57
Chama cha Wanasaikolojia Tanzania (TAPA), kinawaletea Saikolojia Talk itakayo fanyika tarehe 31 Agosti, siku ya Alhamisi ikiwa na lengo la kuelimisha jamii maana ya Saikolojia, na kumfahamu Mwanasaikolojia na kazi yake pamoja na umuhimu wa taaluma hii katika maisha yetu.
@Thereal_taivina @vee__victoria @failasuf_ @mejawey @Ekepot97 @Mateomwakimi @FP_tz66 Tembelea hii page(fb, insta, webste) za hii association #TAPA utapata wataalam wa psychology