@George_Ambangil@George_Ambangil bora mbeumo kuliko zerkzee leo sjui alikua anataka kufunga na kiuno plus Amad yani argh ,mm nilikua nataka 2 assist za el bomba.
Kuna kipindi kinafika kwenye maisha watu hawataki kujua tena ulisoma wapi, una elimu gani au umetokea familia ya aina gani.
Kitu pekee wanataka kujua na kujali ni umefanya/unafanya nini sahizi. Unachofanya kimeleta impact gani. Na kina potential ya kuwa wapi ndani ya miaka 5 ijayo.
@EdwinMjeru@Millambo_ Leo na jana usiku niliongea na mwanangu about the same thing brother,
I think hata swala la investment, saving na mengine tuvichimbe kwa kina, new(CFE) NA finance content creators watokee kuelimisha watu tu na sio vinginevyo tunavyo hisi mm na ww ndugu yangu.
Nawasilisha.
@eastafrican001@PeterJk836528@Sativa255 Mzee nilikua off kdg,
Kiukweli hamna specific link ntakauo recommend kwasabab hua zina change , we uta choose ipi umeikubali bas.
Nb. Adds ni kawaida kukutana nazo nyingi ukiwa unaanza ku choose ila ukisha anza kucheki game hamna adds