@EsirEid kitu kimoja tajiri nakukubali wewe huwa unasimamia unachokiamini na huendeshwi na mob ya kimtandao. jambo ambalo wengi hawaliwezi.. wengi wetu huamua kuwa upade fulani sababu tu watu wengi wapo huko ila kwako ni tofauti binafsi nimejifunza na nimeibeba hiyo itansaidia maishani
@samsonisimiri@DeviMajukano@IdrisSultan Divai na pombe sio kitu sawa, coz kuna divai isiyotiwa chachuu, isiyo na kilevi yaani non alcoholic tuseme ni grand malta mfano😂
@iammpemba Jiwe linatabia ya kusafisha miguu Ila cha ajabu jiwe ni gumu kulik0 miguu Ila yenyewe linaisha na miguu ip0 pale pale …. Mtani elewa taratibu