Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Mheshimiwa John Heche, pamoja na Naibu Katibu Mkuu Bara, Mheshimiwa Amani Golugwa, leo Jumatano, Julai 8, 2026, walifika nyumbani kwa marehemu Suez Dani Maradufu kumjulia hali mke wa marehemu, muda mfupi kabla ya Mheshimiwa Golugwa kuanza safari ya kuondoka Tarime, mkoani Mara, alikokwenda kuhudhuria mazishi ya marehemu Suez yaliyofanyika Jumapili iliyopita.
Piia waliambatana na Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa, Mheshimiwa Deogratias Mahinyila, Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Magharibi, Mheshimiwa Dickson Matata pamoja na viongozi wengine.
Hatujakusikia Hatukuhukumu. BAVICHA tutalinda Chama kwa nidhamu na Ujasiri Mkubwa. Hatutakuhukumu kwa tuhuma za sirini. Ukinyanyua mdomo na nia yako ikathibitika hadharani, Tutakukatalia. Kwa sasa tunathamini kila aliyeweka tofali katika ujenzi wa CHADEMA. Subirini Tamko la CC.
Hiki ndicho kitakachotokea kama hatutakuwa makini!!
Gavoo itafaulu kutugombanisha wananchi kwa wananchi ili wao wabakie salama.
Wanachokifanya Gavoo ni kuchonganisha raia ili wao wabaki safe.
Wanajitoa kuwa wao sio source.
Kundi moja la raia linaingia kingi na kuamini kuwa maadui wakubwa ni wananchi wenzao (Wanaodai haki)
Na sio Gavoo ambao ndio adui namba 1 na source ya haya yote.
Tutaanza kushambuliana wananchi sisi kwa sisi na kumuacha adui namba 1 akishangilia amefaulu!!
‼️HABARI MBAYA‼️
Hawa kwenye picha ni Viongozi wa Bawacha Mkoa wa wa Tanga Katibu na Mwenyekiti.
Leo ni siku ya nne wanashikiliwa na Jeshi la Polisi katika katika vituo tofauti Mkoani Tanga lakin Jeshi la Polisi halitaki kusema kwanini linawashikilia.
Mwenyekiti wa Bawacha Mkoa wa Tanga Rukia Ally anashikiliwa kituo cha Polisi Muheza.
Na Katibu wa Bawacha Mkoa wa Tanga Nasra Omar Kihiyo anashikiliwa katika Kituo cha Polisi Korogwe.
#FreeRukiaAlly #FreeNasraKihiyo
Maazimio ya kikao cha Kamati Kuu kilichofanyika Kigoma yatatangazwa hivi karibuni na viongozi wakuu wa chama. Nina matumaini kwamba yatatoa majibu kwa kelele na mijadala mingi iliyoibuka hivi karibuni. Hata hivyo, iwapo italazimu kutetea heshima yangu binafsi dhidi ya kauli mbalimbali za dharau na upotoshaji, nitafanya hivyo kwa ufasaha. Nasikitika kwamba naweza kujikuta katika jaribu hilo, lakini heshima ya mtu si jambo la kupuuzwa.
‼️HABARI MBAYA‼️
Pichani huyu anaitwa Richard Mponeja ni Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Mpanda mjini.
Julai 6, 2026 alikamatwa na watu waliojitambulisha kuwa ni maofisa wa Polisi akiwa maeneo ya Soka kuu la Mpanda na hadi leo bado anaendelea kushikiliwa na Jeshi hilo katika kituo cha Polisi kilichopo ILEMBO kinyume cha sheria.
#FreeRichardMponeja
Wanetu makarao, poleni sana kwa kubebeshwa silaha kumlinda muuwaji wa maelfu ya ndugu zenu. Jua lenu mvua yenu. Siku tukipata uhuru nanyi mtakuwa huru!
Kwa maana imeandikwa, "nitampiga mchungaji na kondoo watatawanyika". Ukiona mapigo yamezidi jua bado unachunga kundi. So be very strong.
Yoshua 1:6-9, "Uwe hodari na moyo wa ushujaa, maana ni wewe utakayewarithisha watu hawa nchi hii niliyowaapia baba zao ya kwamba nitawapa".
CHADEMA imehitimisha salama vikao vyake vya Kamati Kuu vilivyofanyika mjini Kigoma.
Maazimio yaliyopitishwa katika vikao hivyo yatatangazwa rasmi na viongozi wakuu wa chama kwa wakati utakaotolewa.
Kwa sasa, msimamo na kipaumbele chetu ni mambo mawili tu: Uhuru wa Mwenyekiti Tundu Lissu na Katiba Mpya.
Hii ndiyo dira yetu, ndiyo ajenda yetu kuu, na ndiyo mwelekeo tunaopaswa kuusimamia kwa umoja na uthabiti. Tusiache ajenda hizi zipotezwe na mijadala pembeni; tubaki kwenye mstari huu hadi malengo yetu yatimie.
#KatibaMpyaFreeTunduLissu
Hata dhahabu hupitishwa kwenye moto.
" stay strong" kiongozi ktk kipindi kigumu sana umekibeba chama kwa uaminifu mkubwa na majitoleo ya hali ya juu sana.
Tunakuombea afya njema na ulinzi wa Mungu ktk kila hatua utakayopiga.
Leo ni siku ya 11 tangu Neema Chozaile akamatwe na Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita.
Tangu amekamatwa mpaka leo hakuna mtu yeyote ambae karuhusiwa kumuona sio Familia, Mawakili wala Viongozi wa CHAMA lakin pia Polisi hawataki kusema yupo kituoni gani.
Kwa msiomfahamu Neema ni Mwenyekiti wa CHADEMA wa Jimbo la Geita, June 29, 2026 aliaga watoto wake kwamba anaenda Sokoni kununua mahitaji ya nyumban akiwa njiani alivamiwa na Polisi wakamchukua na kuondoka nae.
Neema ni mama, anawatoto wadogo ambao wanamtegemea na kumhitaji Mama yao.
#FreeNeemaChozaile
Habari niliyopewa usiku huu ni nzito sana.
Watanzania naomba mnisikilize, Heche is a DEAD MAN WALKING….
Huu mpango wa kumuondoa kama kiongozi wa Chadema kupitia kumchafua kuwa kaiba pesa za tone tone ukishindwa kumuondoa CCM watamuua ili waweze kuweka mtu ambae ataipeleka Chadema kwenye maridhiano na kimama.
Yani ni hivi, kimama anataka maridhiano na Chadema at any cost . Yani lazma yafanyike, wamemwaga pesa ndani ya Chadema kama zote ili Heche aondolewe Chadema waweze kuweka mtu wao. Unaambiwa kampeni ya kumchafua Heche ni kubwa na ndo kwanza imeanza, mnaambiwa mpaka kwenye kamati kuu ya chama wanamwaga hela ili aondolewe.
Sasa ikishindikana hiyo plan ya kumuondoa kwa kumchafua kimama yuko tayari kwenda kwenye plan B, to kill him…..
ile ticket and info alioposti Yericko sio Ai au edit it’s real. Kapewa na usalama wa taifa, although Heche hakusafiri. Ila hali ni mbaya kiasi hiko. Mombo anamstalk Heche kila anapoenda anasubiri go head ya kimama then amuue Heche.
Watanzania Heche na Lissu ndio watu wamwisho tulionao wenye msimamo mkali, tumlinde Heche kwa njia yoyote, yani hata ikibidi tupeane zamu kulala nje ya geti lake, au hata tuchange tulipie international security group waje kumlinda other wise HE IS DEAD…