Erton Köhler has been elected President of the General Conference of Seventh-day Adventists during the 62nd General Conference Session.
#ANN#AdventistChurch#Adventists#GCSession2025
NITUMIE FURSA HII KUWASHUKURU KWA MAOMBI YENU NA USHAURI WAKATI MAHUBIRI TV ILIPOKUWA IMEDUKULIWA,NINAPENDA KUMSHUKURU MUNGU KUWA SASA IMERUDI MIKONONI MWETU NA MAHUBIRI YATAENDELEA KWA CHANEL ZOTE MBILI. “MAHUBIRI TV” NA “MAHUBIRI TV2”. MUNGU AWABARIKI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango na Mwenza wake Mama Mbonimpaye Mpango wamewasili katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda
Sabato Njema..
🧵U Z I >>
Nakukumbusha Kuandaa sadaka yako kwa ajili ya kusaidia upanuzi wa masafa ya Morning Star Radio muweza kufikia maeneo yote ya Tanzania pamoja na kuboresha usikivu wetu.
The One who is the Lord of the Sabbath is also called "Almighty" in Revelation 1:8. This Sabbath, take a moment to read Revelation 1:4-8. How do you feel about your Sabbath time knowing that Jesus, the Lord of the Sabbath, is the Almighty?
#HappySabbath!
didahmedia
Kanisa Katika JIji la Dodoma linamtukuza Mungu kusherehekea Miaka ya Utume na Huduma Katika jiji hili, Ibada hii ya Kipekee inafanyika Katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete, Ibada hii imehudhuriwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan.