Mwaka huu mpya Azimia..
1. Kukuza Mahusiano yako na MUNGU.
2.Kujenga mahusiano na familia yako.
3.Kujenga nidhamu zaidi ya ofisi uliyopewa.
4.Kujali afya yako.
5.Kujifunza nidhamu ya Fedha.
6.Muombe MUNGU akusaidie Kukamilisha Ndoto Zako.
HERI YA MWAKA MPYA 2024 KWAKO..
Sabato Njema Wapendwa.. Niwakaribishe Siku ya Tarehe 28/10/2023 Katika Kanisa la Waadventista Wa sabato Lubaga hapa Shinyanga Mjini Ili Tumjengee BWANA Kibweta Cha Kisasa na Ofisi Za Kisasa Pia..