Mteja anapotaka kupata huduma ya mkopo wa nyumba kutoka KCB Bank anatakiwa afate mashariti yapi ili kuweza kukizi huduma hiyo?
Meneja mikopo ya nyumba kutoka KCB Bank ndg Mohamed Mwagalazi anatolea ufafanuzi
@kcbbanktz#mortgage#mortgagefree#mortgagetanzania#nyumba#nyumba
@PabloYende@millardayo Aah wanaosaidiaga huwa ni masela tu ..si unaona hapo wapo na mitumbwi Yao wanasaidia ..zimamoto watakuja baadae sana wakiwa hawana Nguo za ku dive halafu watarudi kwenda kuzitafuta