@Mbagayah Our line ups from right Sam Mangwana, Wuta Mayi,Josky Kiambukuta Londa and Michel Boyibanda🔥🔥 alongside Le grand maitre Franco Luambo Makiadi aka Madevu
@ItsMatemu@IAMartin_ Yaani wewe na akili zako timamu unafikiria ipo siku mheshimiwa Lissu atakuwa rais, Lissu ni kiongozi mzuri lakini hafai kuwa raisi rais ni mtu mkubwa sana anastahili maamuzi yenye hekima na ushauri pia
@marxwelbe@HecheJohn Yani wewe bichwa makamasi kabisa unajua hayo malori yanapeleka bidhaa gani DRC kwanza nchi nyingi za Afrika zipo katika subsistence agricultural ni kama kipofu apewe uongozi wa kuwaonyesha wenzake njia